sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
matumbo yanawachoma chomaWenye wivu wajinyonge.
Who!?WHY NOT US?
Koma.! Kolo..Yanga wangekuwa hatua hii kwenye CAFCL wangechangiwa zaidi ya ticket 500,00 kumbe ht 50k hazijafika!!??
Hofyo kabisaaaaaaa hii
Puaaaa
kalale tu upumzishe kichwa maana naona akili yako imeanza kudhani kwamba uwanja unaweza kuingiza watu laki 5.....Yanga wangekuwa hatua hii kwenye CAFCL wangechangiwa zaidi ya ticket 500,00 kumbe ht 50k hazijafika!!??
Hofyo kabisaaaaaaa hii
Puaaaa
Haya majungu haya sasaNyie Sio Wa Kwanza Mbona Sisi Tulichangiwa Ticket 45Elfu Tena Na Malkia Elizabeth Mwaka 1953 Sio Kitu Kipyaa
Yanga imewafanya muwehuke haswa mashabiki wa Simba. Yaani mpo hatua mbaya sana ya kurukwa na akili, Sasa tiketi 500,000 mashabiki wakakae kwenye uwanja vipi wakati uwezo wa uwanja ni watu 60,000 pekee?Yanga wangekuwa hatua hii kwenye CAFCL wangechangiwa zaidi ya ticket 500,00 kumbe ht 50k hazijafika!!??
Hofyo kabisaaaaaaa hii
Puaaaa
hii timu ya kila mtu ndo maana wakaitwa the citizen.. WANANCHIIIII...Rais wa nchi - Tiketi 5,000
Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000
Benki ya NBC - Tiketi 5,000
Benki ya CRDB - Tiketi 5,000
Benki ya NMB - Tiketi 5,000
Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000
Makamu wa YangaSc - Tiketi 500
JUMLA: Tiketi 31,500..
WHY NOT US? '