Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

Hii Awamu kwenye Umeme imefeli, biteko yupo kimya kama hayupo
 
mnaojenga nyumba zenu Kwa sasa, solar power ni lazima kama maji tuu, msisahau kutenga budget ya panel na battery na mtumie makampuni na mafundi wanaoeleweka, mtaokoa pesa nyingi sana kuwalipa wapuuzi wa TANESCO na mtakuwa na umeme wa uhakika Kwa miaka 25 ijayo, hata wenye nyumba tayari kama mna uwezo fungeni solar system, bongo Kuna jua kuliko mahitaji mungu ametujalia kama mafuta ya mwarabu
Kuna rafiki zangu wawili wamefunga solar power, mgao wa TANESCO wanacheka tu.
 
Tangu aingie madarakani kila siku umeme hamna.

Maushungi anafeli sana.

Mgao wa miaka mitatu? Kweli??
Msimlaumu sana mama Abdul kwani kuseme Kweli hajui kinachoendelea, haya maamuzi anapelekewa tu na yeye anatia saini! Amezungukwa na wapigaji ambao JIWE aliwagundua na kuwaweka kando!! We angalia kule kwenye planning commission amewateua wakina nani? Mnamjua nani alikuwa dalali wa kuiuza TTCL kabla Magufuli hajairudisha toka kwa wahindi? Nani alikuwa dalali wa kuiuza NBC na TBL kwa makaburu wa Soth Africa? Sasa hawa madalali ndio wameteuliwa kuongoza uwekezaji nchini!! Unategemea nini ?
 
Unamaanisha hajui kitu no kussini tu?

Yaani rais ni muhuri tu?

HIvyo tuna slama ya rais?
 
mnaojenga nyumba zenu Kwa sasa, solar power ni lazima kama maji tuu, msisahau kutenga budget ya panel na battery na mtumie makampuni na mafundi wanaoeleweka, mtaokoa pesa nyingi sana kuwalipa wapuuzi wa TANESCO na mtakuwa na umeme wa uhakika Kwa miaka 25 ijayo, hata wenye nyumba tayari kama mna uwezo fungeni solar system, bongo Kuna jua kuliko mahitaji mungu ametujalia kama mafuta ya mwarabu
Ushauri wako umezingatiwa
 
Mvua zinanyesha hadi mafuriko yanakuwepo, lakini hilo bwawa halijai tu.

Huku Serikali inadai ni 30% ya umeme inayotoa ndo unategemea bwawa la Kidatu, lakini umeme ndo unakata nchi nzima.
Mtera maji hakuna mkuu
 
Ukiona kuna mgao wa umeme elewa tu kuna upigaji unafanyika
Si ukoo wa panya upo madarakani una tengeneza matatizo na unakuja na mbinu za kimagumashi za kuyatatua

Kwenye umeme mbinu za kimagumashi zinasema tusubiri miezi sita
Wakati wa Magu hawa wauni aliwadhibiti kwa kiasi tukasahau mgao.
 
Back
Top Bottom