Duh!Mwashambwa anasema Samia nii jemedari wa vita na amefanya watanzania wawe na nyuso za furaha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Mwashambwa anasema Samia nii jemedari wa vita na amefanya watanzania wawe na nyuso za furaha.
Tatizo serikali ya awamu ya tano ilikuwa haifanyi service mitamboHii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja.
Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka Mzima, mvua zinyeshe zisinyeshe Mgao upo pale pale.
Serikali itafute Namna hata kuleta Umeme waafuta watakaoweza wanunue watakaoshindwa wakae Giza.
Awamu hii ya SITA Mimi naiita Awamu ya Giza Totoro, Bodi imevunjwa mara tatu, wakurugenzi wamebadilishwa mara mbili, lakini Mgao ni ule ule
Hii service isiyo na kikomo ina inatia watu hasara kuliko hata kuacha hiyo mitambo itumike bila kufanya service.Tatizo serikali ya awamu ya tano ilikuwa haifanyi service mitambo
Akili itawakaa sawa tu.Hii service isiyo na kikomo ina inatia watu hasara kuliko hata kuacha hiyo mitambo itumike bila kufanya service.
Na miezi 6 ilishaishaUkiona kuna mgao wa umeme elewa tu kuna upigaji unafanyika
Si ukoo wa panya upo madarakani una tengeneza matatizo na unakuja na mbinu za kimagumashi za kuyatatua
Kwenye umeme mbinu za kimagumashi zinasema tusubiri miezi sita
Wakati wa Magu hawa wauni aliwadhibiti kwa kiasi tukasahau mgao.
Unazungumzia nini mkuu?Akili itawakaa sawa tu.
Viumbe msio na jema
Samia nchi haina umeme,yeye analegeza macho kwenye tv.Hovyo kabisa.
Jamani jamani hamuogopi?Tangu aingie madarakani kila siku umeme hamna.
Maushungi anafeli sana.
Mgao wa miaka mitatu? Kweli??
Ahaa! Kumbe tatizo sio Makamba tena? Mbona mlimshambulia sana siku za mwanzo za uteuzi wake?Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja.
Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka Mzima, mvua zinyeshe zisinyeshe Mgao upo pale pale.
Serikali itafute Namna hata kuleta Umeme waafuta watakaoweza wanunue watakaoshindwa wakae Giza.
Awamu hii ya SITA Mimi naiita Awamu ya Giza Totoro, Bodi imevunjwa mara tatu, wakurugenzi wamebadilishwa mara mbili, lakini Mgao ni ule ule
That's the very saddening reality.Ushawahi kufundishwa na mwalimu ambaye hakuwa na mpango wa kuwa mwalimu?
Basi, tuna rais ambaye hakuwahi kuwaza kuwa rais.
What do you expect? - Darassa.
Naandika nikiwa gizani.
Wakati Mwashamba anakuambia hali ya umeme ni nzuri na uzalishaji umeinarika kweli kweli,wakati watu tunaishi gizani,mwenyewe anakuja na maelezo ya kina kuisha kwa mgao,wakati hata tunapotoka nje kuhakiki tunaona tuko gizanii bado.🤣.Ila inawezekana mwenyewe anaota🏃♂️Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja.
Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka Mzima, mvua zinyeshe zisinyeshe Mgao upo pale pale.
Serikali itafute Namna hata kuleta Umem waafuta watakaoweza wanunue watakaoshindwa wakae Giza.
Awamu hii ya SITA Mimi naiita Awamu ya Giza Totoro, Bodi imevunjwa mara tatu, wakurugenzi wamebadilishwa mara mbili, lakini Mgao ni ule ule
Nasema mama anaupiga mwingi!Unazungumzia nini mkuu?
Cha ajabu na awamu hii ndio ina mvua nyingi sana ola wamehamiaha magoli kuwa vifaa chakavu.Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja.
Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka Mzima, mvua zinyeshe zisinyeshe Mgao upo pale pale.
Serikali itafute Namna hata kuleta Umeme waafuta watakaoweza wanunue watakaoshindwa wakae Giza.
Awamu hii ya SITA Mimi naiita Awamu ya Giza Totoro, Bodi imevunjwa mara tatu, wakurugenzi wamebadilishwa mara mbili, lakini Mgao ni ule ule
Kwanini Serikali isiruhusu wawekezaji ili waje kuwekeza tupate umeme wa uhakika! Kwani haiwezekani?Mtera maji hakuna mkuu
Watu wengi bado wanajiuliza ni sababu zipi zilifanya Kalemani atolewe pale na kisha Marope awekwe pale ??!Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja.
Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka Mzima, mvua zinyeshe zisinyeshe Mgao upo pale pale.
Serikali itafute Namna hata kuleta Umeme waafuta watakaoweza wanunue watakaoshindwa wakae Giza.
Awamu hii ya SITA Mimi naiita Awamu ya Giza Totoro, Bodi imevunjwa mara tatu, wakurugenzi wamebadilishwa mara mbili, lakini Mgao ni ule ule
Ndiko tunakoelekea !Kuna rafiki zangu wawili wamefunga solar power, mgao wa TANESCO wanacheka tu.
Shida tunapoteza pesa nyingi kununua hizo sola za mchina bora zingekuwa zinatengenezwa hapa hapa bongoKuna rafiki zangu wawili wamefunga solar power, mgao wa TANESCO wanacheka tu.