Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

Tatizo serikali ya awamu ya tano ilikuwa haifanyi service mitambo
 
Na miezi 6 ilishaisha
Wakaja na blah blah wakadai maji hayaingii bwawani
Maneno maneno mengiii tu
Huu mgawo wanautumia kiupigaji,
Kufanya mauchafu yao tu

Ova
 
Samia nchi haina umeme,yeye analegeza macho kwenye tv.Hovyo kabisa.
Tangu aingie madarakani kila siku umeme hamna.

Maushungi anafeli sana.

Mgao wa miaka mitatu? Kweli??
Jamani jamani hamuogopi?
Mwisho wa siku huyo mtu ni taasisi yenye rasimali watu na fedha za kutosha kumfuatilia yeyote na kumtia adabu.

Ukweli ni kwamba Mh.Samia amekwama hapa kwenye suala la umeme na uwajibikaji watumishi ktk taasisi za umma.

Amefeli pakubwa mno kiasi kwamba 2025 Kama kura zitaheshimiwa anaweza asirudi kukalia kiti chake Ikulu.
 
Ahaa! Kumbe tatizo sio Makamba tena? Mbona mlimshambulia sana siku za mwanzo za uteuzi wake?
 
Ushawahi kufundishwa na mwalimu ambaye hakuwa na mpango wa kuwa mwalimu?
Basi, tuna rais ambaye hakuwahi kuwaza kuwa rais.

What do you expect? - Darassa.

Naandika nikiwa gizani.
That's the very saddening reality.
 
Wakati Mwashamba anakuambia hali ya umeme ni nzuri na uzalishaji umeinarika kweli kweli,wakati watu tunaishi gizani,mwenyewe anakuja na maelezo ya kina kuisha kwa mgao,wakati hata tunapotoka nje kuhakiki tunaona tuko gizanii bado.🤣.Ila inawezekana mwenyewe anaota🏃‍♂️
 
Cha ajabu na awamu hii ndio ina mvua nyingi sana ola wamehamiaha magoli kuwa vifaa chakavu.
 
Watu wengi bado wanajiuliza ni sababu zipi zilifanya Kalemani atolewe pale na kisha Marope awekwe pale ??!

Maana baada ya ya Marope kuingia pale ghafla mambo ya mgao ukashamiri sana na baada ya muda mfupi sana na zile pesa za Symbion zikalipwa chachap !!

Coincidence. ??!! Au labda nnaota. !! 🙏🙏
 
KIZIMKAZI hana muda na Watanganyika YY n kusafiri TU nje y nchi kuliko kutatua changamoto z watanganyika.pole yetu
 
..hizo KODI sijui zitalipwaje ilhali watu hawafanyi biashara?..ndio shida ya AKILI ndogo kuongoza nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…