Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

Ccm imefeli iondoke, wazalendo Tuanze kuijenga upya nchi yetu
 
Ndiko tunakoelekea !
Tungeweza kuwaruhusu hawa watu wauze umeme kwenye grid ya taifa ingekuwa vizuri zaidi. Tungewapa watu incentive ya kuweka solar na kuipa TANESCO competition.

Ukiweza kuweka mfumo wa watu binafsi kuuza umeme katika grid ya taifa, utakuwa umetatua tatizo la umeme Tanzania kwa kiasi kikubwa.
 
Hivi kuna mgao wa umeme, ninapoishi mkoan kwangu sijawahisikia mgao
 
Tatizo serikali ya awamu ya tano ilikuwa haifanyi service mitambo
And yet umeme ulikuwa haukatiki katiki !
Basi jamaa alikuwa mwamba kweli kweli !
Maana mitambo ilipoanza kufanyiwa matengenezo ndio umeme ukazidi kukatika katika !!
Ni ajabu na kweli kwamba mpaka mitambo ilimuogopa Mwamba mpaka ikawa inakubali kufanya kazi bila hata kufanyiwa matengenezo !! 😂😂🤣

Umetufanya tukumbuke zile pesa zilizokuwa zinabebwa kutoka Benki kwenye masandarusi !!
Escrow tukaambiwa pesa zile sio za Serikali !!
Migao ikaendelea ila mimi sikupata mamilioni ya hela za mboga 😅😅😱

Ndio maana tunaendelea kuzikumbuka zile episode 🙏🙏🙏
 
Shida tunapoteza pesa nyingi kununua hizo sola za mchina bora zingekuwa zinatengenezwa hapa hapa bongo
Tatizo uongozi wetu hauna political will kwenye solar bado. Tumewekeza hela nyingi sana kwenye Hydro.

Hizo hela zingewekezwa kwenye solar na kuruhusu watu kuuza umeme kwenye grid ya taifa, tungefika mbali sana.
 
Hii Awamu kwenye Umeme imefeli, biteko yupo kimya kama hayupo

Unampa Biteko majukumu mawili makubwa kwa Nia gani labda? Nishati +Naibu W/Mkuu ili lengo Liwe nini? Wahuni wanatufyeka Debit collected ya 1,500/- monthly uwe umetumia hujatumia ukinunua tu wanalamba chao kwa lazima. Daaah tutakukumbuka daima chuma cha Chato, lala pema mkuu huna deni unalodaiwa.
 
Nadhani tatizo ni aina ya viongozi walioteuliwa kusimamia mipango ya serikali. Ni aibu sana na inaketa kuona tumefeli almost kila kitu. Africans are just funny human beings.
 
Tatizo uongozi wetu hauna political will kwenye solar bado. Tumewekeza hela nyingi sana kwenye Hydro.

Hizo hela zingewekezwa kwenye solar na kuruhusu watu kuuza umeme kwenye grid ya taifa, tungefika mbali sana.
Tatizo kuu ni upigaji Mkuu !!
Mengine yote ni visingizio !!
 
Awamu ya wapigaji na chawa wao
 
Tatizo uongozi wetu hauna political will kwenye solar bado. Tumewekeza hela nyingi sana kwenye Hydro.

Hizo hela zingewekezwa kwenye solar na kuruhusu watu kuuza umeme kwenye grid ya taifa, tungefika mbali sana.
Kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…