and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Sio mbayaDada Haika Shikamoo. Ulitaka ndoa ili na wewe uonekane umo umo siyo???? Na pia ulitaka ku-trend siyo???
Leo Dada wa Ki-Meku unatuona sisi Matapeli????
Haya bhana, ila wale vibeni teni vyako vinavyokusugua kisimi ujue ni kama rika Moja na watoto wako ujue...
Huwezi jua labda walipishana mzee baba alitaka na yeye awemo kwenye umiliki wa Mbezi Garden ambayo kaikuta na Haika kamtolea nje umiliki. Sijamjudge mtu hapo ila hizi ndoa zina mambo mengi sana. Ila jamaa nimeona kavuta kitu tayari na kaivisha pete ya uchumba. Haika atasubiri sana siku hizi wanaume wamewashtukia singo maza wanajipigia na kuingia mitini hawawaoi teehteehteeh.Kama ndo huyu aliekua anaongea hapa basiiiii sababu za kupewa talaka zishajulikana. In short wanaume tuna maadui wengi sana, tutafika tumechoka sana. Robert Heriel Mtibeli toa neno Mkuu, wewe ndo mtetezi wetu tunakutegemea.
View: https://www.instagram.com/reel/DZTbnKysvpP/?igsh=dDd0NDgwZ2cyMXBr
Kuna yale maandazi yanatamba na kuoa mabikira hapa kuna cha kujifunza!Mwanamke ameolewa akiwa chuo IFM, alikuwa hajaichezesha, amepata hela na umaarufu, fungua code mwenyewe.
Wanawake wa kaskazini
Hivi kwanini wakishapigwa chini wanajitutumua ili tuwaone wapo normal/sawa? Na kadri wanavyojitutumua ndiyo kama wanatoka nje ya reli ,huyo Shaboka naona juzi juzi akaanza kuwataja wanaume waliokuwa wanamtongoza enzi za ujana wake.Wanawake wa kaskazini
Kasema alimsomesha? Au alimpa moyo asiridhike aongeze shule? Teh teh. Kwa hiyo huyu jamaa alipata fedha ukweniHuyo tapeli tapeli mtumishi wa serikali hakuwa na hela ya kumsomesha huyo dada ulaya
Huyo mdada kwao wako vyede tokea 19 kweusi, na tapeli aliingia kukinga bomba
Kwa Mwanamke,mahusiano ngazi ya Ndoa kwake ni kila kitu. Ndoa ikivurugika hawezi kuwa sawa. Hata ajitutumue vipi.Hivi kwanini wakishapigwa chini wanajitutumua ili tuwaone wapo normal/sawa? Na kadri wanavyojitutumua ndiyo kama wanatoka nje ya reli ,huyo Shaboka naona juzi juzi akaanza kuwataja wanaume waliokuwa wanamtongoza enzi za ujana wake.
Inasikitisha sana ,tatizo wakishaanza kushika vijihela wanajisahau sana wanaona mwanamme kwao si kitu.....Hata mtu akisema kwa kina Haika kulikuwa na hela lakini mwanzo zilikuwa ziyo zake hivyo alihitaji backup sana ya Phares ,alivyorithishwa mali mabega yakampanda juu.Kwa Mwanamke,mahusiano ngazi ya Ndoa kwake ni kila kitu. Ndoa ikivurugika hawezi kuwa sawa. Hata ajitutumue vipi.
Kupewa talaka = upande mmoja ametoa talaka kwa mwingine.Wametalikiana, sio amepewa talaka.
Ni fangasi kabisaWanawake wa kaskazini
Mawani kama kobe
Mkuu sio vizuri kuhukumu kama hatujajua 'ukweli wa ndani' kuhusu kuachana kwao.Inasikitisha sana ,tatizo wakishaanza kushika vijihela wanajisahau sana wanaona mwanamme kwao si kitu.....Hata mtu akisema kwa kina Haika kulikuwa na hela lakini mwanzo zilikuwa ziyo zake hivyo alihitaji backup sana ya Phares ,alivyorithishwa mali mabega yakampanda juu.