Toka Shetaninyau azaliwe hakuna kipindi kilichokuwa kigumu na cha hofu kwake kama kile cha vita ya siku 12. Shetaninyau huyu aliekuwa amezoeleka kuvaa suti nadhifu, na kunawili alichakaa, alidhoofika, alipauka, macho yalivimba kwa kilio(kama umuonavyo pichani), mwili ulinyong'onyea kwa hofu na mishipa ya shingo ilionekana wazi.
alionekana mwenye majuto makubwa baada ya kuchokoza balaa ambalo alishindwa kulidhibiti hadi akaomba poo yeye mwenyewe.
Mifumo ya ulinzi wa anga kama vile THAAD, Iron Dome nk ilishindwa kumsaidia kuzuia makombora ya Iran ambayo ni second hand tu.
US, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Jordan, Saudi Arabia, Qatar pamoja na kambi zote za kijeshi za Marekani zilizopo katika eneo hilo la mashariki ya kati nazo hazikuwa nyuma kujaribu kuzuia mashambulizi hayo lakini walishindwa na kunyong'onyea wote pamoja na Shetaninyau wao.
Baada ya kushindwa kuzuia mashambulizi, na nchi nzima ya Israeli kugeuzwa magofu kama Gaza, ndo Shetaninyau akaona atakufa kwa presha au shambulizi, hivyo akamuomba Trump nae aingilie kati kumsaidia na kuomba vita iishe.
Trump nae akaiingiza Marekani kwenye vita kuisaidia Israeli, na baadae kuomba poo ili Israeli isalimike.
Kifupi ile ilikuwa ni vita ya Israeli na Marekani wakipambana na nchi 1 Iran na bado waliomba wenyewe poo.
Na hapo Iran inavikwazo vya kiuchumi na silaha kwa zaidi ya miaka 70, ila imepambana na nchi zisizokuwa na vikwazo vyovyote na kufanikiwa kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga zao, je ingekuwa haina vikwazo au Israeli ndo ingekuwa na vikwazo Iran haina hali ingekuaje?
Hebu angalia picha za Netanyahu wa kabla ya vita na wa wakati wa vita uone tofauti.
Madhara ya vita, hofu na maumivu aliyopitia Shetaninyau katika vita vya siku 12 wewe myahudi wa kinyachusa hauwezi kuyajua, japo kwa mtu mwenye akili picha pekee inathibitisha nilichoandika.
Je vita hiyo ingeenda miezi miwili au mi5 si angekutwa amefia ndani kwa njaa na stress!!
View attachment 3479421View attachment 3479441