Ile vita wala haipo kwenye udini,watu wa huko buza tu mmekua primitive na udiniHamas waache Vita na wakati agizo la allah la kuwaangamiza Wayahudi halijatimia!. Mara zote nne Palestine ndiyo uvunja mkataba wa Two states solution si israel.
Umeandika ujinga mtupu. Na hii ni kwa sababu JF inaruhusu watu wajiunge bila kuhusisha elimu zao na taalum zao.they way unavyo sound tu inaonyesha we ni bwana Mdogo aliyesoma soma magazeti ya Shigongo na simu yako ya infinix upo Jf unachalenji watu.
Kuna Faidi kama tano ama sita za adui yako akimiliki Anga lako.
A) Shabaha na intelijensia.
B) Jeshi la muhanga linakuwa kwenye limited movement.Jeshi linalinakuwa Lina move kwa taratibu consentively ili kuepuka kuona na adui aliyepo juu.
C) kusafirisha na kusambaza silaha inakuwa ngumu kwa muhanga.
D) ni Ngumu muhanga kupata msaada toka kwa washirika wake.
in nutshell; dhana ya kwamba adui akimiliki anga muhanga hawezi rusha hata jewelry imetungwa kijinga sana.
You,Iran supporters have incredible talent of jubilanting victory in your defeat.
commonsense is far away from you.
Ni mshamba mno huyo jamaa. Kwenye comments zake kila akikosa hoja hukimbilia kujificha kwenye kichaka cha dini. Sijui udini unamsaidia nini kwenye dunia ya leo!Ile vita wala haipo kwenye udini,watu wa huko buza tu mmekua primitive na udini
this comment coming from Bonobo.Ile vita wala haipo kwenye udini,watu wa huko buza tu mmekua primitive na udini
Iran anajua kuwa ana uwezo huu unaiopatia ama naye haijui?.Umeandika ujinga mtupu. Na hii ni kwa sababu JF inaruhusu watu wajiunge bila kuhusisha elimu zao na taalum zao.
Hapo tayari na ww usiejua tayari ushajiona unajua kuliko sisi wenye kujua!!
Ukitaka kujua nguvu ya mtu angalia ghofu ya adui zake.
Unajua ni kwanini Israel, Marekani, UK, Ufaransa Ujerumani na mataifa mengine mnayosema yana nguvu yanaihofia Iran na kujaribu kila njia ya kuhakikisha haina uwezo wa kutengeneza hata kisu?
Au unajua ni kwa nini Iran pekee ndio iliyowekewa vikwazo vya silaha na sio Israel, Saudi Arabia, Jordan, Pakistan nk.
Jibu ni kwa sababu wanaijua Iran ina nguvu, na uwezo wa kutengeneza silaha zenye nguvu na ubora kuliko Israel na nchi nyingine nilizotaja hapo juu. Mfano ni kama siasa za kwetu, chama chenye nguvu na tishio kwa utawala ndio kinachozuiwa na kuwekewa vikwazo vya kufanya siasa zake, viongozi wao kufungwa, wafuasi kupigwa nk. Huku vile vyama dhaifu vikiachwa viendelee na shughuli zao kwa sababu ya kutokuwa na madhara yoyote kwa watawala.
So hao waoga ili ku limit nguvu hizo wakaamua bora waiwekee Iran vikwazo vikali vya kiuchumi na silaha ili kuidhoofisha, but still wameshindwa kuidhibiti ndomaana hata kwenye vita huwa wanaungana zaidi ya nchi 8 kuzuia na kuisaidia Israel kushambulia lakin wanatoka kapa.
Israel hata bila vikwazo, ikinyimwa silaha na fedha kidogo za kulipa wanajeshi wao Netanyahu anaitisha waandishi wa habari na kuanza kulalamika huku akitia huruma kama mtoto yatima alienyimwa chakula na mama wa kambo.
Je Israel akiwekewa vikwazo vya silaha hata vya miaka 5 tu ataweza kusavaivu kweli?
Iran ina vikwazo vikali vya kiuchumi, kijeshi, teknolojia kwa takriban miaka zaidi ya 60 na bado nchi mnazoita zenye nguvu zimeshindwa lengo lao la kuiangusha na kubadilisha utawala.
Narudia tena, Iran ikiondolewa vikwazo vya silaha na uchumi kwa miaka mitano au kumi tu. Nakuhakikishia kuwa hapo mashariki ya kati na Ulaya kwa ujumla watakuwa kama kuku jike ambae akimuona jogoo lazima alale chini ili apandwe.
Kwa nini washirika Wahamas wasiwaambie warudishe matekaNiaje waungwana
Japo hatua ya mataifa ya Magharibi kama vile UK, Ufaransa, Canada, Australia, Spain, Ireland nk imeonesha kuwafurahisha wengi, na kuwapa matumaini ya kuona mwisho wa vita kati ya Israel na Palestina au Hamas umefika. Mimi binafsi naona hali haiwezi kuwa hivyo wanavyofikiria hadi mambo haya matano yatimizwe au yaende kutimizwa haraka iwezekanavyo.
1. Kwanza iundwe mipaka ile inayotambuliwa na Umoja wa mataifa ili kuhakikisha hakuna nchi inayojiongezea hata nusu ya hatua moja ya binadamu katika ardhi ya nchi nyingine.
2. Umoja wa mataifa utume vikosi vya askari wa kulinda amani katika mipaka inayogawa mataifa hayo mawili, ili kuhakikisha hakuna mlowezi yoyote wa kiyahudi, au askari wa Israel anavuka boda kuingia nchini Palestina bila kufuata utaratibu wa sheria na mipaka ya kimataifa.
Halikadhalika Hamas, na jeshi la Palestina pia wasiingie nchini Israel bila kufuata utaratibu wa sheria na mipaka ya kimataifa. Hili litaondoa mivutano na mapigano yoyote yanayoweza kutokea siku za mbele.
3. Kama ilivyo Israel ambayo imekuwa ikitetewa, ikisaidiwa na kupewa haki ya kujilinda na nchi za Magharibi hata pale inapoonesha uchokozi wa wazi kwa nchi nyingine.
Haki hiyo ya kutetewa, au kujitetea na kujilinda pia inatakiwa ipewe na Palestina, ili itapovamiwa na walowezi wa kiyahudi katika ardhi yake basi iwe na haki ya kujilinda kwa jeshi na silaha dhidi ya uvamizi huo.
Sio Hamas wakivamia Israel nchi za Magharibi zote ziipe silaha Israel ili ipambane na kuwauwa Hamas, lakin walowezi wakivamia Palestina nchi hizo za Magharibi ziishie kulalamika na Palestina ikichukua hatua ya kulinda ardhi yake waiwekee vikwazo kwa madai ya kukiuka haki za binadamu nk.
4. Wawe tayari kuiwekea vikwazo vya kiuchumi, kisilaha na kiutawala nchi yoyote itakayoivamia nchi nyingine, bila kujali kuwa nchi hiyo ni Israel au Palestina. Na wai support kwa nguvu zote nchi iliyovamiwa kama wanavyofanya sasa hivi huko Ukraine baada ya nchi hiyo kuvamiwa na Urusi miaka kadhaa uliyopita.
5. Mwisho kabisa itolewe amri kwa jeshi la Israel na HAMAS.
(a) Israel iamrishwe kuondoa jeshi lake mjini Gaza, otherwise nguvu za kijeshi zitumike kutoka ktk nchi hizo kuliondoa jeshi hilo la Israel ktk ardhi ya Gaza.
(b) Hamas nao waamrishwe kuwaachia kateka waliobaki, otherwise na wao wakumbane na mashambulizi ya kijeshi kutoka ktk nchi hizo. Japo nafikiri Hamas watakubali kuwaachia mateka wote baada ya jeshi la Israel kutimuliwa kutoka Gaza.
Kinyume na hayo mambo ma5 niliyoyaeleza hapo juu, basi itakuwa hakuna maana yoyote ya kulitambua taifa la Palestina, huku likiendelea kuachwa libaki kama nchi ya Haiti ambayo haina jeshi, polisi, migration wala mgambo.
Hii itapelekea walowezi wa kiyahudi kila siku kuendelea kuifanya Palestina shamba la bibi, kwa kuingia katika nchi hiyo kujichukulia ardhi na mali bila kufanywa lolote.
Wazungu wajanja sana. Wanajifanya kuitambua Palestina huku nyuma ya pazi wanajua wanachokifanya. So ili kuonesha kama wapo serious, hayo ndio mambo ya msingi kufanya ili kumaliza vita na kuleta amani ya kweli ya kudumu. Otherwise ni kudanganyana tu na kujaribu kuwaburuza watu wasioona mbali.
Hee makafiri Tena!Hawa wazungu sio wa kuwaamini hata kidogo, tena hao uingereza na ufaransa ndio hawafai, wanatufanya wajinga, na nilifurahi sana sana Argentina kuwaondoa ile fainali.
Hao makafiri hawana kheri nasi waislamu.
Kwamba Israel ni ya wapalestina!Huyu alieandika hii habari hana tofauti na wew ambae unalazimisha uongo isiokuwa na tija.
Hata makaburu hujifanya kuwa wao ndio native wa Afrika Kusini, lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa ni wageni waliovamia ardhi ya wenzao.
Ritz anafurahisha sana!Umeandika ujinga mtupu. Na hii ni kwa sababu JF inaruhusu watu wajiunge bila kuhusisha elimu zao na taalum zao.
Hapo tayari na ww usiejua tayari ushajiona unajua kuliko sisi wenye kujua!!
Ukitaka kujua nguvu ya mtu angalia ghofu ya adui zake.
Unajua ni kwanini Israel, Marekani, UK, Ufaransa Ujerumani na mataifa mengine mnayosema yana nguvu yanaihofia Iran na kujaribu kila njia ya kuhakikisha haina uwezo wa kutengeneza hata kisu?
Au unajua ni kwa nini Iran pekee ndio iliyowekewa vikwazo vya silaha na sio Israel, Saudi Arabia, Jordan, Pakistan nk.
Jibu ni kwa sababu wanaijua Iran ina nguvu, na uwezo wa kutengeneza silaha zenye nguvu na ubora kuliko Israel na nchi nyingine nilizotaja hapo juu. Mfano ni kama siasa za kwetu, chama chenye nguvu na tishio kwa utawala ndio kinachozuiwa na kuwekewa vikwazo vya kufanya siasa zake, viongozi wao kufungwa, wafuasi kupigwa nk. Huku vile vyama dhaifu vikiachwa viendelee na shughuli zao kwa sababu ya kutokuwa na madhara yoyote kwa watawala.
So hao waoga ili ku limit nguvu hizo wakaamua bora waiwekee Iran vikwazo vikali vya kiuchumi na silaha ili kuidhoofisha, but still wameshindwa kuidhibiti ndomaana hata kwenye vita huwa wanaungana zaidi ya nchi 8 kuzuia na kuisaidia Israel kushambulia lakin wanatoka kapa.
Israel hata bila vikwazo, ikinyimwa silaha na fedha kidogo za kulipa wanajeshi wao Netanyahu anaitisha waandishi wa habari na kuanza kulalamika huku akitia huruma kama mtoto yatima alienyimwa chakula na mama wa kambo.
Je Israel akiwekewa vikwazo vya silaha hata vya miaka 5 tu ataweza kusavaivu kweli?
Iran ina vikwazo vikali vya kiuchumi, kijeshi, teknolojia kwa takriban miaka zaidi ya 60 na bado nchi mnazoita zenye nguvu zimeshindwa lengo lao la kuiangusha na kubadilisha utawala.
Narudia tena, Iran ikiondolewa vikwazo vya silaha na uchumi kwa miaka mitano au kumi tu. Nakuhakikishia kuwa hapo mashariki ya kati na Ulaya kwa ujumla watakuwa kama kuku jike ambae akimuona jogoo lazima alale chini ili apandwe.
Hee makafiri Tena!
US, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Uholanzi nk wanalijua hilo, ndio maana wamekimbilia kuiwekea vikwazo vya uchumi na silaha mapema ili kuifunga mikono.Iran anajua kuwa ana uwezo huu unaiopatia ama naye haijui?.
Mnazungumzia mateka wa makafiri, mbona hamuwazungumzii mateka waislamu, wengine wanafungwa wakiwa bado vijana, wanawatesa, kuwapiga na kuwauwa na wengine mpaka wanazehekea jelaKwa nini washirika Wahamas wasiwaambie warudishe mateka
Warudishe mateka?!Kwa nini washirika Wahamas wasiwaambie warudishe mateka
read to understand without sounding Incoherently on my mention..swali ilikuwa Iran anajua kuwa ana nguvu hizo ama na yeye hajui kuwa anaogopwa na dunia nzima?.US, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Uholanzi nk wanalijua hilo, ndio maana wamekimbilia kuiwekea vikwazo vya uchumi na silaha mapema ili kuifunga mikono.
Kama haina nguvu kwanini wakose usingizi, waiwekee vikwazo na waichangie kwenye vita?
Leo hii mawaziri wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wanapanda na kushuka kila siku ili kuisihi isitengeneze silaha ambazo nchi zingine zisizokuwa na nguvu kama Israel zinaachiwa zitengeneze!
Ni wazi kuwa mwenye nguvu huwatia hofu wadhaifu.
Wewe una matatizo makubwa san kichwani kwako. Hiyo Ritz ndo kitu gani na kina uhusiano gani na uzi huu!!Ritz anafurahisha sana!
Weka facts inayoonesha kuwa Iran inataka kuifuta Israel katika dunia, na sio utuwekee maneno ya kwenye kanga na vijiwe vya gongo.Huyo mtu aliyevow kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia ndo asiwekewe vikwazo?
Japo mimi mambo ya imani siyapi sana nguvu lakini nafahamu Palestina, Egypt, Qatar, Jordan nk kuna raia wengi tu wenye asili ya Israeli wanaishi huko. So sijui hizo nchi ni za imani ipi?Kwamba kwake yeye kuifuta Israel ni hitaji la kiimani na kimaandiko huyo ndo aruhusiwe kuwa na nuclear?
Ndiomaana nimesema wewe una matatizo ya akili. Inamaana wewe haujui kuwa Urusi na China zinahofiwa?Marekani na Ulaya wasimhofie mchina na Mrusi wamhofie muiran,are you serious?
Kuuwa kila myahudi ni takwa la kimaandiko?!!Kutomuwekea Iran vikwazo ni sawa na kumpa kichaa rungu.
Kumbuka kuifuta Israel na kuua kila myahudi ni takwa la kimaandiko kwa baadhi ya Imani na hicho ndiyo kiini Cha mgogoro wa middle east zingine zote ni porojo!
Iran ingekuwa haijui kama ina nguvu isingeingia vitani kupambana na nchi inayoshirikiana na Marekani, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Saudi Arabia nk.read to understand without sounding Incoherently on my mention..swali ilikuwa Iran anajua kuwa ana nguvu hizo ama na yeye hajui kuwa anaogopwa na dunia nzima?.
🤣🤣🤣🤣Mnazungumzia mateka wa makafiri, mbona hamuwazungumzii mateka waislamu, wengine wanafungwa wakiwa bado vijana, wanawatesa, kuwapiga na kuwauwa na wengine mpaka wanazehekea jela
Nyie watu hamuna imani wala huruma, na Qur’an tayari ilishawazungumzia.