Haina haja ya Ufaransa, UK, Canada, Australia na nchi zingine za Magharibi kuitambua Palestina kama mambo haya matatu hayafanyiki

Hawa wazungu sio wa kuwaamini hata kidogo, tena hao uingereza na ufaransa ndio hawafai, wanatufanya wajinga, na nilifurahi sana sana Argentina kuwaondoa ile fainali.

Hao makafiri hawana kheri nasi waislamu.
 
sina account huko nisaidie ku-copy paste ili niipitie
Open in app
Sign up

Sign in
https://medium.com/search?source=po..._nav-----------------------------------------









Member-only story

Four Times Palestinians Rejected a Two-State Solution​



Luisa Rodriguez

Follow
3 min read
·
Dec 5, 2023

Listen
Share
Press enter or click to view image in full size

If Israel had only given Palestinians their own nation, the attack on October 7th would have never happened. That is the common thread woven into almost all pro-Palestinian protests, but it is a fallacy. The Palestinians have had several opportunities to establish their own nation-state, but they have rejected several good offers. Below are four times Palestinians had a clear path to sovereignty but failed to follow through.

1937 — The Peel Commission​

In the early 20th century, international persecution led to a large migration of Jews back to Palestine. (Note that the geographic area was named “Palestine,” but it was controlled by the British and the Ottoman Empires before that. No Palestinian sovereign state has ever existed before then.) The Jews then proceeded to purchase land from Arab landowners. Although a Jewish presence had always existed in the area, the increase in population contributed to unrest in the region.

The Peel Commission was established in 1935 to investigate the reasons for unrest in Palestine, and it eventually developed a recommendation to partition the geographic area and establish both a Jewish and Arab state. However, the Arab Higher Committee rejected the proposal so it never came to fruition. Had they accepted the proposal, the Palestinian state would have been bigger than the Jewish one. See the map.

1947 — The UN Partition Vote​

The UN Special Committee on Palestine was created to explore the reasons for tensions between Arabs and Jews in the region. They put forth two proposals, both of which were rejected by Arabs while Israel had accepted one of the two options. Israel was able to use the UN vote for the partition as a basis for forming the state of Israel. The Palestinians lost an opportunity to follow suit and establish an independent state of their own.

2000 — Camp David Summit​

Bill Clinton pushed for a peace negotiation between the Palestinians and Israel at a two-week conference. During the Summit, the Palestinian Liberation Organization leader Yasser Arafat was offered a demilitarized Palestinian state in 92% of the West Bank and 100% of Gaza, a right of return of refugees to the proposed…
 
Reactions: Lax
 
hakuna article hapo aisee
 
Hamas walipo fanya shambulizi october 7 walisema wamejiandaa kwa vita ya muda mrefu, hongera kwao.

Waache wapigane wawe panya road au jeshi wanajua wao, wawe kumi au elfu kumi wanajua wao, wawe na mapanga au nuclear wanajua wao.

Waendelee kukaa na mateka wataipoteza Gaza na wataenda kuushi uhamishoni na hao mateka au miili yao watajua wao, kama mateka wanamaana sana kuliko ardhi na wananchi wa ardhi hiyo wacha wapigwe tu.

Hatima ya ardhi ya gaza na wananchi wanaouwawa na kupoteza makazi iko mikononi mwao.

Mi nawapongeza panya road wanaopambana na jeshi lenye silaha kubwa.

Kila la kheri kwao, aluta continua.
 
Maana ipo sana maana huu ndio mwanzo wa kuoambania Uhuru kamili wa wapalestina.
 
Huyu alieandika hii habari hana tofauti na wew ambae unalazimisha uongo isiokuwa na tija.

Hata makaburu hujifanya kuwa wao ndio native wa Afrika Kusini, lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa ni wageni waliovamia ardhi ya wenzao.
 
Hawa wazungu sio wa kuwaamini hata kidogo, tena hao uingereza na ufaransa ndio hawafai, wanatufanya wajinga, na nilifurahi sana sana Argentina kuwaondoa ile fainali.

Hao makafiri hawana kheri nasi waislamu.
Inaonekana jamaa wamelitambua taifa la Palestina ili kupunguza presha katika nchi zao baada ya wananchi kuwataka viongozi wao wafanye hivyo.
 
Toka Shetaninyau azaliwe hakuna kipindi kilichokuwa kigumu na cha hofu kwake kama kile cha vita ya siku 12. Shetaninyau huyu aliekuwa amezoeleka kuvaa suti nadhifu, na kunawili alichakaa, alidhoofika, alipauka, macho yalivimba kwa kilio(kama umuonavyo pichani), mwili ulinyong'onyea kwa hofu na mishipa ya shingo ilionekana wazi.

alionekana mwenye majuto makubwa baada ya kuchokoza balaa ambalo alishindwa kulidhibiti hadi akaomba poo yeye mwenyewe.

Mifumo ya ulinzi wa anga kama vile THAAD, Iron Dome nk ilishindwa kumsaidia kuzuia makombora ya Iran ambayo ni second hand tu.

US, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Jordan, Saudi Arabia, Qatar pamoja na kambi zote za kijeshi za Marekani zilizopo katika eneo hilo la mashariki ya kati nazo hazikuwa nyuma kujaribu kuzuia mashambulizi hayo lakini walishindwa na kunyong'onyea wote pamoja na Shetaninyau wao.

Baada ya kushindwa kuzuia mashambulizi, na nchi nzima ya Israeli kugeuzwa magofu kama Gaza, ndo Shetaninyau akaona atakufa kwa presha au shambulizi, hivyo akamuomba Trump nae aingilie kati kumsaidia na kuomba vita iishe.

Trump nae akaiingiza Marekani kwenye vita kuisaidia Israeli, na baadae kuomba poo ili Israeli isalimike.
Kifupi ile ilikuwa ni vita ya Israeli na Marekani wakipambana na nchi 1 Iran na bado waliomba wenyewe poo.

Na hapo Iran inavikwazo vya kiuchumi na silaha kwa zaidi ya miaka 70, ila imepambana na nchi zisizokuwa na vikwazo vyovyote na kufanikiwa kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga zao, je ingekuwa haina vikwazo au Israeli ndo ingekuwa na vikwazo Iran haina hali ingekuaje?

Hebu angalia picha za Netanyahu wa kabla ya vita na wa wakati wa vita uone tofauti.

Madhara ya vita, hofu na maumivu aliyopitia Shetaninyau katika vita vya siku 12 wewe myahudi wa kinyachusa hauwezi kuyajua, japo kwa mtu mwenye akili picha pekee inathibitisha nilichoandika.

Je vita hiyo ingeenda miezi miwili au mi5 si angekutwa amefia ndani kwa njaa na stress!!
 
Huyu alieandika hii habari hana tofauti na wew ambae unalazimisha uongo isiokuwa na tija.

Hata makaburu hujifanya kuwa wao ndio native wa Afrika Kusini, lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa ni wageni waliovamia ardhi ya wenzao.
fanya hivi; Hamas ndiyo Wayahudi halisi walislimu baada ya kufikishiwa Uislamu.
Yasser Arafat ni myahudi aliyezaliwa misri wazazi wake wakiwa na asili ya Jordan baada ya kuona Wayahudi fake wametoka ulaya na kuvamia israel nchi yao ya asili nae uku wakitumia utambulisho wa kiyahudi wakati sio Wayahudi
Hapa umeongea ukweli maana Bila Donald Trump kuingilia kati na kumuomba Ayatollah asimue Netanyahu leo netanyau asingelikuwepo.
Vinu vya nyuklia vya israel vilikuwa vimeshakuwa Wiped out.iran ikakontro Anga la Israel.

Israeli Total1,190 deaths, 4,475 majeruhi
wananchi 436 vifo, 2,071 majeruhi.

wanajeshi 435 vifo, 256 majeruhi.
Unknown319 vifo, 2,148 majeruhi.

12-day war," Iran ikapoteza wanajeshi 29 na wananchi 3,238 kujeruhiwa.

and this will be a reason to Netanyahu.
 
fanya hivi; Hamas ndiyo Wayahudi halisi walislimu baada ya kufikishiwa Uislamu.
Mimi naamini katika uafrika, hayo mambo ya sijui kufikishiwa uislam, ukristo, uyahudi, uhindu nk mbaki nayo nyinyi wafia dini, na wajinga wa imani.

mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa siku zote mtu mjinga, na anaefilisika kwenye hoja hukimbilia kujificha kwenye kimvuli cha dini kama kichaka chake cha kuficha ujinga wake.

China waliachana na huu ujinga wa kuaminishwa kua watu wote wawasujudie wayahudi (Israel) ili wabarikiwe. Leo hii China ipo mbali kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi na kibiashara.
Yasser Arafat ni myahudi aliyezaliwa misri wazazi wake wakiwa na asili ya Jordan baada ya kuona Wayahudi fake wametoka ulaya na kuvamia israel nchi yao ya asili nae uku wakitumia utambulisho wa kiyahudi wakati sio Wayahudi
Sakatai kwamba kuna wayahudi waliotoka Ulaya na maeneo mengine ya dunia kwenda Palestina, ambapo pia kulikuwa na wayahudi wengine waliopo pale toka enzi za utawala wa Ottoman na waliishi vizuri tu na waarab (Wapalestina), lakini katika msafara wa mamba, kenge nao wapo. Kina Shetaninyau na genge lao ni wapoland, na wazungu wa nchi zingine za Ulaya ambao wameitumia hiyo fursa kujipenyeza katika nchi ya watu na kuhodha maeneo makubwa ya ardhi kwa nguvu.
Hizo nyingine ni propaganda tu, na zinafanya kazi kwa wapumbavu na wajinga. Sababu mtu mwenye akili timamu kwa dunia ya leo hawezi kukubali story za mtu anaemiliki anga la adui aruhusu adui anaemiliki anga lake arushe makombora katika nchi yake na kusababisha hasara kubwa kwenye kambi za jeshi, majengo ya serikali, miji mikubwa kugeuzwa magofu, Netanyahu kudhoofika mwili, kuvimba macho, kushindwa kula, mishipa ya shingo kuchomoza, kusahau kuvaa suti nk.
 
Ndugu hawa wazungu ni waongo sana hio ni propoganda wameona Israel ambao ni wao kwa uhakika+USA wameona Israel hawezi kuwashinda Hamas na huko Israel ndugu zetu Wayemeni wanawapelekea moto Israel sio wa kawaida.

Siasa ya hao European ni wanataka nchi za kislam waingize jeshi kule Gaza ili wauwane Waislam kwa Waislam na pia wanauhakika wakingia hao wanaweza Hamas wasipigane nao sababu Hamas wao wako against hao Israel na ndicho hao Western wanacho kitafuta ili badaye majeshi ya nchi za Kiarabu na Kislam wawakabidhi Egypt afu hao wawape nchi Netanyahu .

Hakuna watu wajinga kama Warabu na Wafrika duniani.
 
Inawezekana hili uliloandika ni la kweli. Ndomaana mimi siungi mkono Palestina kutambuliwa bila kufanya hayo niliyoandika hapo juu.
 
Ndugi Mr IA..kuna jamaa hapa pembeni yangu anauliza; eti,kumiliki Anga kunazuaje Adui kurusha makombora?.
 
Ndugi Mr IA..kuna jamaa hapa pembeni yangu anauliza; eti,kumiliki Anga kunazuaje Adui kurusha makombora?.
Unaelewa maana ya ku control anga lakini?
Maana nisije kuwa nabishana na mtu aisefahamu anachoandika mwenyewe!!
 
Hawatakua na amani wala furaha maisha yao yote, all the time wako na khofu. Laana ziendelee kuwatesa
 
Unaelewa maana ya ku control anga lakini?
Maana nisije kuwa nabishana na mtu aisefahamu anachoandika mwenyewe!!

they way unavyo sound tu inaonyesha we ni bwana Mdogo aliyesoma soma magazeti ya Shigongo na simu yako ya infinix upo Jf unachalenji watu.
Kuna Faidi kama tano ama sita za adui yako akimiliki Anga lako.

A) Shabaha na intelijensia.

B) Jeshi la muhanga linakuwa kwenye limited movement.Jeshi linalinakuwa Lina move kwa taratibu consentively ili kuepuka kuona na adui aliyepo juu.

C) kusafirisha na kusambaza silaha inakuwa ngumu kwa muhanga.

D) ni Ngumu muhanga kupata msaada toka kwa washirika wake.

in nutshell; dhana ya kwamba adui akimiliki anga muhanga hawezi rusha hata jewelry imetungwa kijinga sana.
You,Iran supporters have incredible talent of jubilanting victory in your defeat.
commonsense is far away from you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…