Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana.
Iko hivi, Yaani mtu ananiahauri sijui nishone suti ya laki tano na viatu sijui vya laki mbili sijui eti kisa tu ndoa huu ni upuuzi mkubwa sana ambao nimeona kabisa ndio moja ya kauli inayopelekea watu kuingia madeni ambayo hawakuyatarajia.
Unavyoniambia haitajirudia unamaanisha kuwa huyo ninaye muoa ni hadi kufa hata kama analeta upuuzi ?? Big Noo. Na hii kitu ilitokea wakati wa Engagement mtu mmoja akamwambia huyu mwanamke eti usije kuwayaabisha tena wazazi wakusanyike hapa. Hizi kauli sikuielewa, inamaana mnambanisha huyu dada hata yakimshinda aendelee kuvumilia tu kisa kuepuka kusumbua wazee.
Stewpid pipo, Nitaoa kwa gharama za kawaida na kama huyu nwanamke akijichanganya tunaachana fu**k “Till death do us apart” . I would rather live like a divorced man but happy rather than living the Hell on earth kufurahisha the so called Jamii. Hell Nooo
I am prepared for anything, Najua kutarakiana kupo na lolote likija nipo tayari. I don’t wanna give much expectations on Something has no warranty.
“Jana alikuwa ananiambia ameshona nguo ya gharama sana nikamuuliza kwanini unafanya
hivyo ili hali wajua wazi huna source hela zaidi ya kuchangiwa vijicent kwenye send off yako... akajibu bhnaa haitajirudia tena” duuh I pity her