April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,405
- 2,147
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kiasi basi mbona povuuuuuu huku wakati jamii inayokukera uko nayo huko ?? Kaa kwa password
Eti kaa kwa nywila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kiasi basi mbona povuuuuuu huku wakati jamii inayokukera uko nayo huko ?? Kaa kwa password
Jamaa sio muoaji, anaingia kwenye ndoa na hasira na mwenzi wake! Hakuna love hapo ni ubabe tu na hasira. Huyu jamaa ni mkoloni SanaHii ndoa kabla haijafungwa dalili inaonesha ishavunjika
Yetu macho fanya nafsi yako ipendacho
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unaonekana hujui unachokifanya yaani hujielewi, mwanaume kua na gubu sio afya. Grow up!
Leo ni Valentine mkuu, pambana uwekwe kwenye billboard
Kama unaona hauko tahari kuoa kwanini unaoa mkuu?
unaingia kwenye ndoa ukiwa unawaza kutarikiana kupo? kwanini usiingie ukiwa na mentality kwamba ndoa ni pepo ndogo duniani,.kwamba utaifurahia adi mwisho wa maisha yako?
nimesoma nusu ila naona ni utoporo mtupu
kila mtu atafanya kwa uwezo wake pia ndoa sio mchezo unapo oa ni kufa na kuzikana hassa kwa sisi wakristo
binafsi nikioa hata kama ni pakashume nitakufa nae kibishi
Anaingia na hiyo mentality ya kutalikiana,then waliachana huko mbeleni atashangaa!
Nakuunga mkono mkuu haiwezekani ufunge ndoa ya gharama. Baada ya ndoa nije niite mbwa hivi hivi
Hapana kwa kweli.
Hii ndoa kabla haijafungwa dalili inaonesha ishavunjika
Yetu macho fanya nafsi yako ipendacho
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hebu shusha hasira kwanza. Maana umeongea kwa hasira sana brother. Mbona mambo madogo sana haya ndugu yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani uongo kua inaweza isijirudie tena. Una matatizo yako binafsi tu usitafute visababu vya suti na viatu havina hata tija
Umesema kweli, hili nalo anatakiwa balance, ndio talaka ipo kama haipo, kama mlango wa dharula huwezi kuutumia kama exit door.Kama unaona hauko tahari kuoa kwanini unaoa mkuu?
unaingia kwenye ndoa ukiwa unawaza kutarikiana kupo? kwanini usiingie ukiwa na mentality kwamba ndoa ni pepo ndogo duniani,.kwamba utaifurahia adi mwisho wa maisha yako?
Masihara haya, Macbook pro utakosaje laki 7 ya vazi la bwana harusi??
Liishi jina lako bana.. Halafu shusha jazba kidogo[emoji1787].
Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana.
Jamaa sio muoaji, anaingia kwenye ndoa na hasira na mwenzi wake! Hakuna love hapo ni ubabe tu na hasira. Huyu jamaa ni mkoloni Sana
Ona sasa, acha gubu kijanaMatercal wewe Kalale, Kwanza umeshaosha vyombo tulivyolia chakula cha usiku Jana ??