Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
- Thread starter
- #61
Mtu yeyote anaeanza kufanya BIASHARA sidhani kama huaga anafikiria kwamba kuna kufirisika, hua ana focus kwenye mafanikio ya biashara yake; mwanafunzi anae join chuo, sidhani kama hua anafikiria habari ya ku disco, mwanamke anaeshika mimba nae sidhani kama hua anafikiria habari za mimba kuharibika au mtoto kufa kabla hajafikisha umri fulani, hata watu wanao jenga nyumba, kupanga mipango ya maisha, wote hawa sidhani kama
Mkuu hii kitu ilikuwa inanipa Jaziba sana, ila naona Mke wangu na ndugu zake waliliona hilo wakaongea naye na wakafanya shughuli ndogo na hatukutumia Pesa nyingi. Kusema kweli, Nina amani na Muomba Mungu atusaidie tufike mbali na tuzeeke pamoja kama mke na Mume.