“Haitajirudia tena” kauli ya kipuuzi sana wakati wa kufunga ndoa

Huyo mke mtarajiwa namuonea huruma

Endeleeni kuwaza hivyo huenda ikawa hivyo..! Sio vibaya pia. By the Sikutaka ndoa mimi, yeye alitaka a m doing kwa sababu yake ila upuuzi wa hiyo kauli unanikera kwa sababu mie nishaona kabisa upuuzi wake na anendekeza.
 
Naoa kwa michango ya wadau baada yapo nitakua nasogeza tu. Nahisi utakuwa umeridhika
 
Endeleeni kuwaza hivyo huenda ikawa hivyo..! Sio vibaya pia. By the Sikutaka ndoa mimi, yeye alitaka a m doing kwa sababu yake ila upuuzi wa hiyo kauli unanikera kwa sababu mie nishaona kabisa upuuzi wake na anendekeza.
A wedding is always for the bride, hakuna mwanaume anayependa kujichoresha na kuchezacheza mbele za watu, au kuspend pesa hovyo.... ila wanafanya sababu ni wajibu wao kufanya kile kitakacho mfurahisha mwanamke.

Its not about what u want bro, muhimu ni binti afurahie.
 
Haitajirudia tena nakwambia.

Na usiposhona suti ya laki tano niliyokuambia, tutaanza kususia vikao.

Fata unachoambiwa. Kumbuka hauba uzoefu wewe alaaaah
 
Endeleeni kuwaza hivyo huenda ikawa hivyo..! Sio vibaya pia. By the Sikutaka ndoa mimi, yeye alitaka a m doing kwa sababu yake ila upuuzi wa hiyo kauli unanikera kwa sababu mie nishaona kabisa upuuzi wake na anendekeza.
[emoji848]hukutaka ndoa ni yeye!?
My God!?
 
Wanawake wengine wapuuzi sana yaani. Yaani ukiliambia linakimbilia kununa na kuzira

Mmmh mwanaume unatumia lugha ya hivo ukiliambia linakimbilia [emoji849][emoji849][emoji849] ni li dudu ama lingurue
Jifunze kutumia kauli nzuri kabla hujaoa
 
Mtu yeyote anaeanza kufanya BIASHARA sidhani kama huaga anafikiria kwamba kuna kufirisika, hua ana focus kwenye mafanikio ya biashara yake; mwanafunzi anae join chuo, sidhani kama hua anafikiria habari ya ku disco, mwanamke anaeshika mimba nae sidhani kama hua anafikiria habari za mimba kuharibika au mtoto kufa kabla hajafikisha umri fulani, hata watu wanao jenga nyumba, kupanga mipango ya maisha, wote hawa sidhani kama huaga wanapiga HESABU ya KUFA na kuviacha walivyo jitafutia, ndio maisha yalivyo, ndio tulivyo binadamu wote tulio TIMAMU. Hata mtu anae OA au kuolewa, sidhani kama hua ana mawazo ya TARAKA kwenye hilo agano lake analokwenda kuliingia soon, bado najiuliza, wewe unaingiaje kwenye ndoa na mawazo haya? Mifano yote nilioitoa hapo ju, sio kwamba wote hua wanatoboa, kuna biashara zinakufa, kuna wanafunzi wanafeli mitihani na kurudishwa nyumbani, kuna wanao pata mimba na mimba hizo zinaharibika, kibaya zaidi wapo wanao haribu mimba hata 4 but hawaachi kushika mimba zingine, zipo pia TARAKA. But sina hakika kama kuna mtu hua anaingia kwenye ndoa halafu kabla hata hajaianza hiyo ndoa, fikra za TARAKA hua zinamkaa; i think unae muoa HUJAMPENDA, unataka tu kuoa but there is NO LOVE, sijui kwanini pia umuoe mwanamke usiempenda! Anyway, bado najifunza.
Jambo moja ninalo kubaliana na wewe ni kuhusu kuweka gharama kubwa kuliko uwezo wa wahusika, hili hata mimi nalipinga, linachelewesha vinaja wengi kuanza maisha, linasababisha hata mabinti kua na mtazamo usio rasmi, kwamba ndoa yangu ivunje record ya ndoa ya fulani, that is stupid, hapa nakubaliana na wewe kabisa.
 
Unajuaje kama mimi sio mzungu by the way ni talaka sio taraka.
Habari ndio hiyo kufanya harusi sio kama birthday kua kila mwaka utaifanya
 
Unajuaje kama mimi sio mzungu by the way ni talaka sio taraka.
Habari ndio hiyo kufanya harusi sio kama birthday kua kila mwaka utaifanya

Huu uzi niliutelekeza baada ya Hasira kunishuka.! Namshukuru Mungu, yaani huyu mwanamke wangu alijiongeza. Akili yake ya kufanya Bonge la harusi iliisha, Tumefunga ndoa Yetu Beach na watu wasiozidi 50 hivi. Moyo wangu ulikuwa mwepesi na nina amani kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…