“Haitajirudia tena” kauli ya kipuuzi sana wakati wa kufunga ndoa


Mkuu hii kitu ilikuwa inanipa Jaziba sana, ila naona Mke wangu na ndugu zake waliliona hilo wakaongea naye na wakafanya shughuli ndogo na hatukutumia Pesa nyingi. Kusema kweli, Nina amani na Muomba Mungu atusaidie tufike mbali na tuzeeke pamoja kama mke na Mume.
 
Bonge la harusi hua linaandaliwa na bwana harusi. Mwanamke linakua bonge la send off au kitchen party
 
Bonge la harusi hua linaandaliwa na bwana harusi. Mwanamke linakua bonge la send off au kitchen party

Ndugu zake wali saidia kwa baadhi ya mambo ili kuhakikisha furaha ya Binti yao inatimia. Mie nilikataa ku exhaust kila source yangu ya pesa
 
Kwahiyo kwasasa lile swala la akizingua unapiga chini umeachana nalo?
 
Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana.
Tafuta pesa mkuu, suti ya laki 5 wenzako wanavaa kwenda ofisini. Utaenda nayo hata church na mitoko mingine.

Tumeambiwa tutafute pesa jumamosi sio siku ya kufua nguo.
 
Kama unaona hauko tahari kuoa kwanini unaoa mkuu?
unaingia kwenye ndoa ukiwa unawaza kutarikiana kupo? kwanini usiingie ukiwa na mentality kwamba ndoa ni pepo ndogo duniani,.kwamba utaifurahia adi mwisho wa maisha yako?
Hiyo ni kama utajifurahisha mwenyewe lakini kama utategemea furaha itokane na mwenza wako hapo pagumu na pachungu. Tahadhari ni muhimu
 
Tafuta pesa mkuu, suti ya laki 5 wenzako wanavaa kwenda ofisini. Utaenda nayo hata church na mitoko mingine.

Tumeambiwa tutafute pesa jumamosi sio siku ya kufua nguo.

Sawa Mkuu. Niko nazitafuta, Baada ya miaka mitano mbele suti ya Laki tano itakuwa ni kitu Cha Kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…