Haitashangaza pia kuona CHADEMA ikimtetea Mafwele siku zijazo

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,234
Reaction score
3,192
Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.

Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.

Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.

Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.

Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
 
Viongozi wa CHADEMA walinunuliwa kwa sababu walijiuza. sio kosa la CCM wàa Polepole.

Hata wewe ukiamua kuuza mwili wako halafu watu wakaununua kwa ajili ya starehe wa kulaumiwa sio wao ni wewe kwa sababu mwili ni wako..

Kila mtu ana hiyari ya kujiunga na chama anachoona kinamfaa kwa wakati huo.
 
Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.

Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.

Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.

Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.

Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
Polepole ni binadamu kama binadamu wengine ana makosa kama binadamu wengine kama ulivyo Wewe hapo ulio wakosea wote wangeamua kutunza vinyongo na kukuwinda sizani kama ungekua mzima linapokuja suala la uhai wa mtu ni kuweka pembeni tofauti zetu za Vyama CCM au chadema au CUF au ACT na kukemea mambo yote ambayo sio mazuri kama taifa utekaji kama mtu kakosea afikishwe mahakamani sio kijichukulia sheria mkononi
 
Samia anawapelekea moto na mtakuja kumsafisha hv hv 😂
 
Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.

Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.

Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.

Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.

Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
Kwani ulishanga pale TEF ilivyoungana na watesi wa taifa hili!Je iweje wengine?
 
Hapa utaitwa fisadi, muhuni, muuaji.

Kwasababu tu umesema ukweli
 
Chadema hawamtetei Polepole ila wana hamasisha utawala wa kisheria!

Pia wanaangalia hoja sio mtu, kama hoja za Polepole ziko bomba tutamsuport bila kuangalia historia yake.

Kama Polepole ana makosa ashtakiwe sio kutekwa!
 
Back
Top Bottom