Haitashangaza pia kuona CHADEMA ikimtetea Mafwele siku zijazo

Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.

Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.

Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.

Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.

Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.

..ikiwa Mafwele naye atatekwa, na kuteswa, basi itakuwa halali kumtetea.

..Mafwele anastahili kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria, na sio kufanyiwa unyama, na ukatili, nje ya utaratibu wa sheria.
 
Umeandika usenge mwingi sana kama mlivyo Chama Cha Mashoga.
 
Kwa dhambi anazozifanya atakuwa hai mpaka muda huo wa kuja kutetewa na chadema? CHADEMA haitatete watekaji na wauaji, hakuna siasa za namna hiyo
 
Umewezaje kuandika mkeka wote huo lakini unakosa akili ndogo tu kwamba mkosaji ana haki ya kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria? Ikiwa kila mkosaji anatekwa anauliwa hiyo itakuwa nchi kweli? Mama yako akituhumiwa kwa uongo atekwe auliwe?

Hata huyo Mafwele ana haki, amefanya makosa atashtakiwa Jaji atahukumu. Lakini sio kumteka.
 
Wewe ndo huna akili kushindwa kuelewa kuwa hata kabla ya Polepole kutekwa tayari alishakuwa shujaa wa CHADEMA na kutetewa sana. Mafwele leo akijitokeza na kusapoti agenda za CHADEMA atafutiwa dhambi zake na wanaCHADEMA wakiongozwa na Nabii feki Lema.
 
Mwana mpotevu aliporejea kwa baba yake, alifanyiwa sherehe kubwa, ndugu yake baada ya kuona hayo alikasirika. Huu ni mfano alivyo Mungu wetu, mtu anaporejea kwake humsamehe. Na wale wasiojua hukasirika.
 
Acheni upuuzi. Ingekuwa rahisi hivyo kusingekuwa na magereza.
 
..ikiwa Mafwele naye atatekwa, na kuteswa, basi itakuwa halali kumtetea.

..Mafwele anastahili kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria, na sio kufanyiwa unyama, na ukatili, nje ya utaratibu wa sheria.
Mafwele akiona upepo hauendi sawa ataanza kuisapoti CHADEMA ili nyumbu bila kujua waanze kumsafisha. Na hii kazi ya kusafisha watu wenye tuhuma za jinai CHADEMA wamebobea.
 
..Na Mafwelebakianza kuisapoti Chadema si ndio utakuwa mwisho wake, na yeye ataishia kutekwa?

..Nadhani Chadema waanze kumtetea Mafwele hata sasa hivi ili atekwe na kuuwawa.
 
Back
Top Bottom