Jamaa wana akili za ajabu sanaUkitaka chadema wakuone mwokozi Hata kama ulihusika kuwatoa damu, ww waunge mkono kwenye mambo yao 😂
Viongozi wa CHADEMA walinunuliwa kwa sababu walijiuza. sio kosa la CCM wàa Polepole.Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.
Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.
Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.
Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.
Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
Polepole ni binadamu kama binadamu wengine ana makosa kama binadamu wengine kama ulivyo Wewe hapo ulio wakosea wote wangeamua kutunza vinyongo na kukuwinda sizani kama ungekua mzima linapokuja suala la uhai wa mtu ni kuweka pembeni tofauti zetu za Vyama CCM au chadema au CUF au ACT na kukemea mambo yote ambayo sio mazuri kama taifa utekaji kama mtu kakosea afikishwe mahakamani sio kijichukulia sheria mkononiKwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.
Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.
Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.
Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.
Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
Ndivyo siasa zilivyo , watu wanakosea sana kufikiri kuwa wanasiasa ni rahisi kuleta ukombozi.Ukitaka chadema wakuone mwokozi Hata kama ulihusika kuwatoa damu, ww waunge mkono kwenye mambo yao 😂
Samia anawapelekea moto na mtakuja kumsafisha hv hv 😂Polepole ni binadamu kama binadamu wengine ana makosa kama binadamu wengine kama ulivyo Wewe hapo ulio wakosea wote wangeamua kutunza vinyongo na kukuwinda sizani kama ungekua mzima linapokuja suala la uhai wa mtu ni kuweka pembeni tofauti zetu za Vyama CCM au chadema au CUF au ACT na kukemea mambo yote ambayo sio mazuri kama taifa utekaji kama mtu kakosea afikishwe mahakamani sio kijichukulia sheria mkononi
Mimi sijawahi kua chadema ila lazima tujifunze kusamehe Ayo ndo maishaSamia anawapelekea moto na mtakuja kumsafisha hv hv 😂
Kwani ulishanga pale TEF ilivyoungana na watesi wa taifa hili!Je iweje wengine?Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.
Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.
Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.
Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.
Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
Hapa utaitwa fisadi, muhuni, muuaji.Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika na huu ukatili basi hata yeye hayuko salama. Yaani ajue ana maadui hadi kwenye cycle yake. Kama ni kweli ajue kuna gharama atalipa.
Polepole ni mtu aliyehusika sana na ukatili ikiwemo ubakaji na ulawiti wa demokrasia hapa nchini. Wakati Polepole akiwa miongoni mwa watu wachache wenye nguvu hapa nchini ndo wakati ushenzi mwingi mno ulitokea. CHADEMA walikuwa wahanga wakuu. Polepole alihusika na ununuzi wa viongozi wa CHADEMA kama ng'ombe mnadani. Aliwanyanyasa sana. Ndo enzi ambazo maiti zilikuwa zinaokotwa hovyo ila Polepole hakuwahi kujitokeza na kukemea.
Lakini katika hali ya kushangaza CHADEMA kupitia nabii wao feki Lema walijitokeza na kutamka kuwa wamemfutia dhambi Polepole baada ya kutubu Online. Lakini kwenye kutubu kwake hakukiri makosa yote aliyofanya. Walimsamehe kwa sababu Polepole alionyesha kuunga mkono harakati za CHADEMA. Ikumbukwe CHADEMA mwaka 2015 walisema wanaweza kushirikiana hata na shetani ili mradi waingie Ikulu. Wao hawajali lolote cha muhimu waingie Ikulu. They are very desperate.
Ikitokea kweli Mafwele ni mhusika na akageukwa na wenzake basi afanye tu kinafiki kama Polepole kusapoti movement za CHADEMA. WATAMFUTIA DHAMBI ZAKE NA KUMTAKASA kupitia Nabii uchwara Lema. Watamsafisha haswa na kuwaambia watanzania waende mahakamani kama wana ushahidi Mafwele ni katili. Walimsafisha hayati EL na Polepole kwahiyo hata Mafwele anaweza safishwa.
Pia itoshe kusema Polepole sio mtu smart. Huwezi kumtupia maneno ya shombo Rais wa nchi, rais mstaafu, wafanyabiashara wakubwa na wazito wengine wa nchi hii ukachekewa tu.
Wewe kenge subiri uone kina Heche wakimsafisha MafweleOna mbuzi hii
Watz sisi ni vigeugeu knoma, ndo kama ile 2020 chadema walivyoanza kumsafisha lowassa 😂I find this amusing..
Na imagine siku Mafwele atubu , watu waseme "Mafwele hauna baya dhambi zako nipewe Mimi "