Haitashangaza pia kuona CHADEMA ikimtetea Mafwele siku zijazo

..ikiwa Mafwele naye atatekwa, na kuteswa, basi itakuwa halali kumtetea.

..Mafwele anastahili kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria, na sio kufanyiwa unyama, na ukatili, nje ya utaratibu wa sheria.
 
Umeandika usenge mwingi sana kama mlivyo Chama Cha Mashoga.
 
Kwa dhambi anazozifanya atakuwa hai mpaka muda huo wa kuja kutetewa na chadema? CHADEMA haitatete watekaji na wauaji, hakuna siasa za namna hiyo
 
Umewezaje kuandika mkeka wote huo lakini unakosa akili ndogo tu kwamba mkosaji ana haki ya kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria? Ikiwa kila mkosaji anatekwa anauliwa hiyo itakuwa nchi kweli? Mama yako akituhumiwa kwa uongo atekwe auliwe?

Hata huyo Mafwele ana haki, amefanya makosa atashtakiwa Jaji atahukumu. Lakini sio kumteka.
 
Wewe ndo huna akili kushindwa kuelewa kuwa hata kabla ya Polepole kutekwa tayari alishakuwa shujaa wa CHADEMA na kutetewa sana. Mafwele leo akijitokeza na kusapoti agenda za CHADEMA atafutiwa dhambi zake na wanaCHADEMA wakiongozwa na Nabii feki Lema.
 
Mwana mpotevu aliporejea kwa baba yake, alifanyiwa sherehe kubwa, ndugu yake baada ya kuona hayo alikasirika. Huu ni mfano alivyo Mungu wetu, mtu anaporejea kwake humsamehe. Na wale wasiojua hukasirika.
 
Acheni upuuzi. Ingekuwa rahisi hivyo kusingekuwa na magereza.
 
..ikiwa Mafwele naye atatekwa, na kuteswa, basi itakuwa halali kumtetea.

..Mafwele anastahili kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria, na sio kufanyiwa unyama, na ukatili, nje ya utaratibu wa sheria.
Mafwele akiona upepo hauendi sawa ataanza kuisapoti CHADEMA ili nyumbu bila kujua waanze kumsafisha. Na hii kazi ya kusafisha watu wenye tuhuma za jinai CHADEMA wamebobea.
 
Mafwele akiona upepo hauendi sawa ataanza kuisapoti CHADEMA ili nyumbu bila kujua waanze kumsafisha. Na hii kazi ya kusafisha watu wenye tuhuma za jinai CHADEMA wamebobea.

..Na Mafwelebakianza kuisapoti Chadema si ndio utakuwa mwisho wake, na yeye ataishia kutekwa?

..Nadhani Chadema waanze kumtetea Mafwele hata sasa hivi ili atekwe na kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…