Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Wengine wata safiri mchana na wengine tutasafiri usiku usiku usiku usiku
Usiku wa manane
Usiku wa manane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Wanatka kutunyooshaY
Yaani wanaweka bei sawa na C208 (Caravan ya abiria 12).
Nafikiri kwa ukubwa wa ndege zao, wangestahili kucharge angalau nusu ya bei ya Caravan ya abiria 12.
Baharia ndio utakaa nae na lazma afanye utalii wa ndani. Kale kagiza kazuri sana kwa kupiga zile Duke Tachez 🤣Shindwaaaaaa pepo!!
Nimemaliza kukata ticket.. Now nasali nikae seat na mdada. 😂😂😂
Kina kampuni iliweza ila ATCL ilishindwaHivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.
Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).
Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.
Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.
Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
Hawa waliweza mpaka pale mtu yule alipowazuilia RizikiFastjet waliweza wao wameshindwa
Basi awe ni mbabu 😂Baharia ndio utakaa nae na lazma afanye utalii wa ndani. Kale kagiza kazuri sana kwa kupiga zile Duke Tachez 🤣
Hahah raha ya safar ya usiku ni kukutana na baharia kama mimiMapemaaaa
Na BM 😂😂😂
Uzuri uwaga siongei 😂😂😂Hahah raha ya safar ya usiku ni kukutana na baharia kama mimi
Utaongea tu, we utanunaje safari nzima ya masaa 8?Uzuri uwaga siongei 😂😂😂
Utasandaa
That’s my weakness… 😂😂 sinuni, bali ni kusinzia na kunyamaza.Utaongea tu, we utanunaje safari nzima ya masaa 8?
uchoyo huo 😀kwahio kumbe kelele mwisho humu face to face amna kituThat’s my weakness… 😂😂 sinuni, bali ni kusinzia na kunyamaza.
nikishakusalimia nimemaliza.. mie hata ile imeibuka mjadala, au kitu njiani. Abiria wanaanza kujadili, mie ndo naegemea pembeni kusinziaa
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.
Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).
Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.
Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.
Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
Labda ndege mnyamaLaki 1 ni only Dar to Znz…
Arusha to Dar laki 1 famchezo nini 😂
Wacha tusafiri na bus usiku… kesho naijaribu safari ya usiku.
Nina kelele kila sehemu..uchoyo huo 😀kwahio kumbe kelele mwisho humu face to face amna kitu
Pana nchi ya kusini mwa Africa walienda huko hadi leoHawa waliweza mpaka pale mtu yule alipowazuilia Riziki
Inawezekana ila sababuu usafiri wa anga tz ni anasa basi watasema haiwezekani..Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.