Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

Shindwaaaaaa pepo!!

Nimemaliza kukata ticket.. Now nasali nikae seat na mdada. 😂😂😂
Baharia ndio utakaa nae na lazma afanye utalii wa ndani. Kale kagiza kazuri sana kwa kupiga zile Duke Tachez 🤣
 
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.

Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).

Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.

Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.

Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
Kina kampuni iliweza ila ATCL ilishindwa
 
Baharia ndio utakaa nae na lazma afanye utalii wa ndani. Kale kagiza kazuri sana kwa kupiga zile Duke Tachez 🤣
Basi awe ni mbabu 😂

Nitalala njia nzima kwanza… tena nitabeba kamvinyo, nakaweka kwa chupa ya maji
 
Tanzania nauli ya ndege ipo juu kwa sababu ya kodi kubwa ukichanganua kiwango ulicholipia tiketi na kodi unaona kodi ni kubwa sana wangepunguza baadhi ya kodi kwenye Tiketi za abiri ili kukuza usafiri wa Anga na Uchumi wa Watanzania ingawaje hawawezi kufanya hivyo maisha yangekua sawa sana maana hata hizo ndege zije kiasi gani Wananchi hawaoni faida yake kwa bei zilivvyo juu kutoka Dar kwenda Ruvuma inafika laki tano wakati tiketi moja tu daah...
 
That’s my weakness… 😂😂 sinuni, bali ni kusinzia na kunyamaza.

nikishakusalimia nimemaliza.. mie hata ile imeibuka mjadala, au kitu njiani. Abiria wanaanza kujadili, mie ndo naegemea pembeni kusinziaa
uchoyo huo 😀kwahio kumbe kelele mwisho humu face to face amna kitu
 
Wanaondoa ushindani ili wafanye kupanda ndege kuwa anasa, kungekuwa na ndege za kutosha na zinajaa wakati wote na gharama nafuu kama walivyokuwa fastjet ungesikia wenye mabasi ndio wakilalamika.

Unaweka gharama kubwa unakusanya kodi kwa watu wachache badala ya kuweka kodi kiasi ukusanye kwa watu wengi.

Fastjet alafika hatua kwenda dodoma na kurudi 140,000, sasa fikiria leo ambavyo makao makuu yamehamia huko weekend ingekuwa kila baada ya dk 20 ndege inatua na kuondoka.
 
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.

Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).

Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.

Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.

Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.

Haiwezekani...

Uendeshaji wa ndege una gharama kubwa, anza kwa kutafakari bei ya mafuta ya ndege, kiwango chanlita ambazo ndege huchoma kwa safari inayolingana na basi, gharama za service ya ndege, malipo ya wahudumu, malipo ya kutumia kiwanja cha ndege n.k
 
Unajua kwann naul ziko juu 1 wakubwa weng wana share kwenye mabasi so yatakosa abilia watakosa pesa...anna makinda>superfeo mizengo pinda>summry samia>NUNU NK KWA HALI HY USITEGEMEE NAULI KUSHUKA
 
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.

Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).

Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.

Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.

Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
Inawezekana ila sababuu usafiri wa anga tz ni anasa basi watasema haiwezekani..
 
Back
Top Bottom