Hapa na mm ndo nimepata picha!Sasa wamejitokeza waziwazi, baada ya waliyekuwa wanamtumia kushindwa.
Wewe unaongelea majority..Nadhani waziri kasema Sheria hiyo imebase sana na sheria za German ambazo wao timu haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja isipokuwa km huyo mtu anamiliki hizo share kwa zaidi ya miaka 20.
Jaribu kufuatilia wanaita 50+1 rule.
Kwani biashara ya German na sisi inafanana jamani kwenye michezo? Naona kabisa wamedhamiria mtu. Mbaya sana kutunga kanuni ukiwa umemlenga mtu Fulani.Nadhani waziri kasema Sheria hiyo imebase sana na sheria za German ambazo wao timu haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja isipokuwa km huyo mtu anamiliki hizo share kwa zaidi ya miaka 20.
Jaribu kufuatilia wanaita 50+1 rule.
Kilomoni alitangulizwa tuu
Kwa hapo serikali ifikirie Mara mbili, inaenda kuua tena michezo. Sidhani kama magufuli anataka urasimu huu. Mwakembe anahujumu sana michezo. Mara wachezaji wa nje lazima wawe wanacheza timu zao za taifa, why why why. Sekta ya michezo ingeacha kabisa nguvu ya soko itawale. Wangebuni kodi tu wavune mapesa basi.
Mbaya sana hii asee. Yaani huyu waziri wizara zote zimemshinda. Usomi wa watu wengine hata hausaidiii jamii kwa kweliMkuu kama ulimsikiliza Kilomoni wiki iliyopita wakati akihojiwa na kuulizwa kuhusu kunyanganywa hati alisema hivi subiri wiki ijayo nitalipua bomu..
Na kweli ni wiki hii Mwakyembe kaibuka na hili..
Wordmuendelezo wa siasa michezoni,tatizo MO nae kichwa ngumu,aachane na hiyo simba anapoteza pesa zake bure tu,bora ajenge chuo cha ujasilimali au uifundi alete walimu wa kimarekani watoto wa masikini wasome humo bure kuliko kupoteza pesa kwa watu wasio na shukrani
Yaani ukimtukana tu raisi hapo ndo tunashindana Mimi na nyinyi. Raisi wetu mpendwa usimhusishe na vitu vya ajabu. Raisi alikuwa teyari kumtuma makonda aende kuongoza timu misiri kuliko huyu waziri.Na wewe pumbavu kabisa, eti raisi hapendi urasimu huu wakati yeye ndiye chanzo
Kama hujui kitu kaa kimya
Mkuu jaribu kufuatilia % kubwa ya sheria zetu ni copy and paste sio michezo tu hata uongozi wa kawaida.Kwani biashara ya German na sisi inafanana jamani kwenye michezo? Naona kabisa wamedhamiria mtu. Mbaya sana kutunga kanuni ukiwa umemlenga mtu Fulani.
Kwani Tanzania ni ujerumani ?Nadhani waziri kasema Sheria hiyo imebase sana na sheria za German ambazo wao timu haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja isipokuwa km huyo mtu anamiliki hizo share kwa zaidi ya miaka 20.
Jaribu kufuatilia wanaita 50+1 rule.
Hapo sawa, coz hisa 49 unataka wawekezaji 3 while ligi yenyewe tu haina mwekezaji sasa huyo mwekezaji wa kuwekeza kwenye timu anatokea wapi? [emoji23][emoji23] Yanga si hiyo mpaka leo inahangaika mbona hao wawekezaji wasiende kama ni rahisi hivyo?
Tumekusikia Cyprian Musiba!Yaani ukimtukana tu raisi hapo ndo tunashindana Mimi na nyinyi. Raisi wetu mpendwa usimhusishe na vitu vya ajabu. Raisi alikuwa teyari kumtuma makonda aende kuongoza timu misiri kuliko huyu waziri.
Sidhani kama atakuelewa...Ishu sio mo hata kama angekuwa ni manii hapo ishu ni maendeleo ya vilabu vyetu
Kama aliweza kuikana thesis yake mwenyewe....siajabu kusikia PhD yake ni'ya pale Mkwepu street.Huyu Mwakyembe atakuwa na PhD fake
Soma uelewe kilichoandikwa, imebase kwa sheria za Germany hata sheria za nchi yetu tumerithi kwa waingereza hakuna sehem pameandikwa Tz ni Germany.Kwani Tanzania ni ujerumani ?
Kuna haja chuo kikuu kilichotoa hii PhD kifanye uchunguzi aisee hii ni PhD fakeKama aliweza kuikana thesis yake mwenyewe....siajabu kusikia PhD yake ni'ya pale Mkwepu street.
Hiyo sheria unayoisema imetungwa lini au unaropoka tu ?Soma uelewe kilichoandikwa, imebase kwa sheria za Germany hata sheria za nchi yetu tumerithi kwa waingereza hakuna sehem pameandikwa Tz ni Germany.