Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

Sasa wamejitokeza waziwazi, baada ya waliyekuwa wanamtumia kushindwa.
Hapa na mm ndo nimepata picha!
Hawa walikuwa behind the scene ya Kilomoni.

Sijui huu mpira wetu tunaupeleka wapi?
Inasikitisha Sana!
 
Huyu bwana nadhani wizara ya michezo, imemshinda yafaa atafutwe mtu mwenye taaluma ya michezo.

Huwezi kumtibu mgonjwa wa mifupa kwa kumtumia doctor wa macho.

pia hapa sasa tumeanza kujua nani ndio tatizo kwenye soka letu hasa hivi vilabu 2.

Haiwezekani tukataka kupiga hatua kwa kuleta mfumo wa kisasa kwenye vilabu halafu waziri akaja kupiga siasa kwenye mambo muhimu kwa mustakabali wa timu.

sasa tumejua kilomoni anatumwa na nani! Tukiendelea na ujima uhu hakika maendeleo ya mpira tanzania itakua ni hadithi za bibi ndosi.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Nadhani waziri kasema Sheria hiyo imebase sana na sheria za German ambazo wao timu haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja isipokuwa km huyo mtu anamiliki hizo share kwa zaidi ya miaka 20.
Jaribu kufuatilia wanaita 50+1 rule.
 
Wewe unaongelea majority..
 
Nadhani waziri kasema Sheria hiyo imebase sana na sheria za German ambazo wao timu haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja isipokuwa km huyo mtu anamiliki hizo share kwa zaidi ya miaka 20.
Jaribu kufuatilia wanaita 50+1 rule.
Kwani biashara ya German na sisi inafanana jamani kwenye michezo? Naona kabisa wamedhamiria mtu. Mbaya sana kutunga kanuni ukiwa umemlenga mtu Fulani.
 
Mkuu kama ulimsikiliza Kilomoni wiki iliyopita wakati akihojiwa na kuulizwa kuhusu kunyanganywa hati alisema hivi subiri wiki ijayo nitalipua bomu..
Na kweli ni wiki hii Mwakyembe kaibuka na hili..
Kilomoni alitangulizwa tuu
 
Na wewe pumbavu kabisa, eti raisi hapendi urasimu huu wakati yeye ndiye chanzo
Kama hujui kitu kaa kimya
Kwa hapo serikali ifikirie Mara mbili, inaenda kuua tena michezo. Sidhani kama magufuli anataka urasimu huu. Mwakembe anahujumu sana michezo. Mara wachezaji wa nje lazima wawe wanacheza timu zao za taifa, why why why. Sekta ya michezo ingeacha kabisa nguvu ya soko itawale. Wangebuni kodi tu wavune mapesa basi.
 
Mkuu kama ulimsikiliza Kilomoni wiki iliyopita wakati akihojiwa na kuulizwa kuhusu kunyanganywa hati alisema hivi subiri wiki ijayo nitalipua bomu..
Na kweli ni wiki hii Mwakyembe kaibuka na hili..
Mbaya sana hii asee. Yaani huyu waziri wizara zote zimemshinda. Usomi wa watu wengine hata hausaidiii jamii kwa kweli
 
muendelezo wa siasa michezoni,tatizo MO nae kichwa ngumu,aachane na hiyo simba anapoteza pesa zake bure tu,bora ajenge chuo cha ujasilimali au uifundi alete walimu wa kimarekani watoto wa masikini wasome humo bure kuliko kupoteza pesa kwa watu wasio na shukrani
Word
 
Na wewe pumbavu kabisa, eti raisi hapendi urasimu huu wakati yeye ndiye chanzo
Kama hujui kitu kaa kimya
Yaani ukimtukana tu raisi hapo ndo tunashindana Mimi na nyinyi. Raisi wetu mpendwa usimhusishe na vitu vya ajabu. Raisi alikuwa teyari kumtuma makonda aende kuongoza timu misiri kuliko huyu waziri.
 
Kwani biashara ya German na sisi inafanana jamani kwenye michezo? Naona kabisa wamedhamiria mtu. Mbaya sana kutunga kanuni ukiwa umemlenga mtu Fulani.
Mkuu jaribu kufuatilia % kubwa ya sheria zetu ni copy and paste sio michezo tu hata uongozi wa kawaida.
Mfano hata Germany kuna limited nos ya wachezaji wageni na haswa ambao hawatoki Kwenye nchi za ulaya.
 
Nadhani waziri kasema Sheria hiyo imebase sana na sheria za German ambazo wao timu haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja isipokuwa km huyo mtu anamiliki hizo share kwa zaidi ya miaka 20.
Jaribu kufuatilia wanaita 50+1 rule.
Kwani Tanzania ni ujerumani ?
 
Bongo bahati mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]sina hakika kama simba walishalipwa pesa yao ya ubingwa
Hapo sawa, coz hisa 49 unataka wawekezaji 3 while ligi yenyewe tu haina mwekezaji sasa huyo mwekezaji wa kuwekeza kwenye timu anatokea wapi? [emoji23][emoji23] Yanga si hiyo mpaka leo inahangaika mbona hao wawekezaji wasiende kama ni rahisi hivyo?
 
Yaani ukimtukana tu raisi hapo ndo tunashindana Mimi na nyinyi. Raisi wetu mpendwa usimhusishe na vitu vya ajabu. Raisi alikuwa teyari kumtuma makonda aende kuongoza timu misiri kuliko huyu waziri.
Tumekusikia Cyprian Musiba!
 
Kama aliweza kuikana thesis yake mwenyewe....siajabu kusikia PhD yake ni'ya pale Mkwepu street.
Kuna haja chuo kikuu kilichotoa hii PhD kifanye uchunguzi aisee hii ni PhD fake
 
Soma uelewe kilichoandikwa, imebase kwa sheria za Germany hata sheria za nchi yetu tumerithi kwa waingereza hakuna sehem pameandikwa Tz ni Germany.
Hiyo sheria unayoisema imetungwa lini au unaropoka tu ?

Nijuavyo Mimi haya aliyatoa kama maoni yake na bado shirikisho BMT hawajaipitisha katika Sera ya michezo.
 
Back
Top Bottom