Haiwezekani Mtumishi wa Serikali umiliki gari ya milioni 60, halafu unaendelea kuwa mtumishi

Wakuu habari.

Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.

Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine

Kuna Jambo unataka kulisema Lkn timing tu Ya kuliweka sawa ndio umeikosa.!

Kama unaweza kujipinda tena uilete tena hii au kufafanua basi Fanya hivyo.

Mabenki Mengi kwa sasa Yanawakopesha watumishi hadi miezi 84..! Yaani Miaka 7. Sasa hapo mtu anaweza kbs Kukopa na Kununua hilo gari bila shida..!
 
Kwa mshahara upi ukope hiyo hela. Hata iwe miaka kumi, halafu ubaki na kipi, ule nini.
 
Uchizi hivi mnajua mtu anaelipwa M3.3-M5 wanaweza kukopa sh.ngapi, mnajua mafisadi wanaiba ngapi, mnajua kuna watu wana project zenye net balance mgao hadi 50M-100, au mgao wa 25*4 kwa project collective and personal.

Ambao mnavijisent mtulie tu muendelee kujamba milioni 60 pesa gani hio ya kashata tu hiyo.
 
Uchizi hivi mnajua mtu anaelipwa M3.3-M5 wanaweza kukopa sh.ngapi, mnajua mafisadi wanaiba ngapi, mnajua kuna watu wana project zenye net balance mgao hadi 50M-100, au mgao wa 25*4 kwa project collective and personal.

Ambao mnavijisent mtulie tu muendelee kujamba milioni 60 pesa gani hio ya kashata tu hio
Ati kashata ya milioni 60 yaani sidhani kama hata Mo Dewji anaweza tamka hii sentensi lakini hapa kwakuwa hatuonani unakuta mbugila flani wa kwamtogole kapiga SHING'WAA au mzinga wa K Vant halafu anatishia watu humu kuwa 60 milion ni hela ya kashata
 
Back
Top Bottom