jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Akili za kimasikini na za kijamaa hizo..nenda kafanye kazi ujikomboe na umasikini.Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
#MaendeleoHayanaChama