Haiwezekani Mtumishi wa Serikali umiliki gari ya milioni 60, halafu unaendelea kuwa mtumishi

Haiwezekani Mtumishi wa Serikali umiliki gari ya milioni 60, halafu unaendelea kuwa mtumishi

Jamaa atakua zao la mchattle yule mwenye roho za kimaskn. Wapo wafanyakazi wa umma wanasukuma ndinga za 80-100+M na wala hawaringi
 
Wakuu habari.

Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.

Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Ukifikiria kwa umakini ni kweli .....unanyima fursa tu!! Kwa watu wengine
 
Back
Top Bottom