jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Akili za kimasikini na za kijamaa hizo..nenda kafanye kazi ujikomboe na umasikini.Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Na ukweli wenyewe ni wewe kufa masikini, ukikodolea macho cha walionacho.Acha nife masikini. Ila nasema ukweli. Tatizo wabongo hatupendi kuambiwa ukweli
We ushakuwa mtu mzima sasa mbona ufiii ili wengine wazaliwe?Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Maisha ni kupanga, Na kupanga ni kuchagua.Kwa mshahara upi ukope hiyo hela. Hata iwe miaka kumi, halafu ubaki na kipi, ule nini.
Hivi una akili kweliWe ushakuwa mtu mzima sasa mbona ufiii ili wengine wazaliwe?
Badala ya kufanya kazi na kujituma yeye anangalia maisha ya watu umaskini mbaya sanaRoho za kimasikini ni mbaya Sana ndio maana maisha yanakuwa magumu kwa masikini kila uchwao
Ukijituma ndio unapata hizo hela, acha bangiBadala ya kufanya kazi na kujituma yeye anangalia maisha ya watu umaskini mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuangalia vya watu umri unaenda na siku zinaenda watu wanajituma na maisha yanaenda hata ukilalamika haisaidiiUkijituma ndio unapata hizo hela, acha bangi
Hapo bado leseni,TRA na makorokoro mengine unakumbana nayo.Una point
Ila watu wanataka "job security"..
Hata akiumwa .. mshahara guarantee..
Kujiajiri ukiumwa biashara inakufa
Sio kila mtu ni mfanyabiashara.Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Pesa ninayo zaidi ya unavyofikiria, Ila nimeongelea uhalisia wa maisha. Nina 32, Ila ninavyomiliki ni Mara kumi ya hiyo milioni 60. Mi sio mtumishiEndelea kuangalia vya watu umri unaenda na siku zinaenda watu wanajituma na maisha yanaenda hata ukilalamika haisaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Hapo bado leseni,TRA na makorokoro mengine unakumbana nayo.
Bado biashara itumbe kutokana na sababu mbalimbali mfano Covid19.
Acha tu watu watake kuajiriwa
Umenipa somo kubwa sana leoBiashara ni ile tu ambayo inaweza kuendelea na kuboreka bila wewe kuwepo,ukiona unabiashara ambayo ukitoka wewe imesimama basi bado umeajiliwa hujapata biashara bado
Kwani unafikiri mtumishi anatakiwa awe masikini?yani afanye kazi na awe masikini?Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
We hujaelewa. Point yangu Kama Mtumishi wa uma umeweza kuwa na gari la milioni 60, ni Bora utafute mtaji, ukajiajiri uwaachie wengine hiyo nafasi nao watafute mtaji. Pia utumishi wa uma ni kujitolea, sio kuwa na ukwasi huo. Au umesahau maneno ya Mwalimu NyerereKwani unafikiri mtumishi anatakiwa awe masikini?yani afanye kazi na awe masikini?
Umekosa kazi za kufanya wewe
Aliekuambia utumishi ni kujitolea na sio kua na ukwasi ni nani kiongoziWe hujaelewa. Point yangu Kama Mtumishi wa uma umeweza kuwa na gari la milioni 60, ni Bora utafute mtaji, ukajiajiri uwaachie wengine hiyo nafasi nao watafute mtaji. Pia utumishi wa uma ni kujitolea, sio kuwa na ukwasi huo. Au umesahau maneno ya Mwalimu Nyerere