Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,276 Jun 8, 2022 #81 Jamaa atakua zao la mchattle yule mwenye roho za kimaskn. Wapo wafanyakazi wa umma wanasukuma ndinga za 80-100+M na wala hawaringi
Jamaa atakua zao la mchattle yule mwenye roho za kimaskn. Wapo wafanyakazi wa umma wanasukuma ndinga za 80-100+M na wala hawaringi
Saint_Mwakyoma JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 865 Reaction score 1,208 Jun 8, 2022 #82 BrownRange said: Wakuu habari. Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi. Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine. Click to expand... Ukifikiria kwa umakini ni kweli .....unanyima fursa tu!! Kwa watu wengine
BrownRange said: Wakuu habari. Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi. Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine. Click to expand... Ukifikiria kwa umakini ni kweli .....unanyima fursa tu!! Kwa watu wengine