Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

Mbona umeandika upuuzi hivi?
 
Robert ametoa hoja za kweli. Zako mkuu haziwi kweli hata ukiandika kilatini. Ni hoja za kufikirika na siyo uhakisia unaotuletea
 
Al

Alien ni kama unavyoona kwenye movie hippogriff, leprechaun,lamies,alicorns,nagas,naiads, ogres, n.k
Mungu hajawahi exist sababu dhana ya uwepo wake inajipinga yenyewe.
 
Soma Biblia kijana acha Blah blah.

Biblia ina majibu yote.

Tatizo hamtaki kusoma Biblia ila mnakimblia kuandika blah blah tu
hayo uliyoyasoma ndo yanahitajika hapa sasa, sio busara kusema tu someni, tujue ulipofikia.
 
Ukitaka uishi kwa amani, achana na hayo mambo ya hadithi za kusadikika, hazina mantiki. Shika jadi yako.
 
"hata vitabu vya Dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba Mema na Mabaya (ushetani) lakini akamwambia Mwanadamu achague Mema ili aweze kuishi."

Swali: Is This a Game we playing? Why?
 
Kitendo cha, kukubali shetani yupo, inafuta hoja zako zote, ulizoandika hapo.
Ila pia naomba nikuulize, unijibu naomba unijibu hapa, wewe usiemini kupitia Mungu, je unalala na ndugu wa karibu uliewataja, Mama yako Dada yako, shangazi zako na wengine.

Na kama huwatumii nini kinakukataza ikiwa hakuna kinachokuzuia.
 
Dogo unaenda kasi sana. Jitahidi kupunguza kasi utakuja changanyikiwa kabla hujafikisha miaka 30.
Watu wana amini Mungu, pia wanaamini mbele ya Mungu hakuna kisichowezekana.
Alafu yeye, analeta hoja ambayo waumini hawana, ETI HAIWEZEKANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…