Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

God and Satan are spiritual beings ,akili zako za shuleni haziwezi kukupa uelewa wowote kuhusu wao
 
God and Satan are spiritual beings ,akili zako za shuleni haziwezi kukupa uelewa wowote kuhusu wao

Spirit ni nini nawe?
Roho ni Nishati.
Roho haina utambuzi,
Ukiambiwa ueleze maana ya Roho bila kuhusisha Nishati utaielezaje?
 
Sema sasa maana unayoijua wewe ni ipi?,
Unasema MTU hajui mambo ya Kiroho Wakati huohuo hujui maana ya Roho.

Roho ni nishati au nguvu inayompa kiumbe uhai.
Sasa hapo haujaelezea Nafsi.

Sasa unaposema mambo ya Kiroho sijui unazungumzia mambo yapi.
 
Nani aliyekudanganya shetani ana hivyo vipawa huu uongo umeutolea wapi

Embu Anza na niliyemnukuu Huko juu, yeye ndiye kasema Shetani anavipawa, ndio nikamuambia hivyo vipawa alivyonavyo huyo Shetani kavitolea wapi kama sio Kwa muumba wake.

Ukikuta mjadala, jitahidi utafute ulipoanzia sio kudandia juu Kwa juu.
 
Kama unaamin shetani anahusika kweny maovu kwann serikali hutoa hukum ya kunyongwa kwa muuaji why shetani asihukumiwe?

uongeza. Someni dini ndo mje kureason.
Ulisikia lini serikali inahubiri mambo ya mungu au bwana shetani?
 
Kwa mantiki hiyo binadamu ameingizwa kwenye bifu ambalo hajui chanzo wala muelekeo wake! Yaani anaburuzwa kama tela.

Sent using Jamii Forums mobile app

😀😀😀
MTU anakuletea habari za dini unamuuliza, aliyeandika hiki kitabu inamjua, anasema hamjui na hajawahi kumuona, unamuuliza Mungu unamjua anasema hamjui, Shetani he unamjua, pia atasema simjui.
Wametoka wapi, atasema sijui.
Ila anadai anauhakika ni kweli,

Ukweli ambao umeanzia katikati na kuishia Katikati. Hapo ndipo kuburuzwa kulipo.
 
Kama Mungu angefanya hivi ingeonekana ya kwamba Mungu ni dhaifu,na anamhofia shetani,Kwa hiyo Ili Mungu endelee kuonenekana mkuu Kwa viumbe vyake amemwachilia shetani mpaka mwisho wa nyakati
Amemwachilia aendelee kutudanganya sisi waja wake na kuharibu dunia? Huyu mungu mbona simwelewi, kama ana uwezo kwanini asimbadilishe shetani akawa na tabia njema kama yeye, na sisi binadamu tukaishi kwa amani na utulivu, na kama ana uwezo kwann huyo mungu aruhusu magonjwa, vita, tabu, njaa na dhiki na vifo kama anatupenda kweli?
Acheni mimi niwapelekee moto dada zenu hapa dunia ningali hai kwani najua kuna siku huyo mungu kama yupo nami atanipelekea moto wa jehanum
 
Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani
 
Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani

😀😀😀

Na Nafsi ni kitu gani?
Binadamu ni kama Computer tuu.
Kuna software na hardware ndani ya computer.
Software ni Nafsi
Hardware ni Mwili.
Alafu kuna kitu kinaitwa umeme ambao ndio nguvu inayofanya Computer iwakw na ufanye kazi. Umeme ni Nishati.

Kwa binadamu Nishati hiyo au umeme huo huitwa Roho.
Roho ndio Nishati inayofanya mwili na Nafsi zifanye kazi.
Roho haina utambuzi Ila kuna Roho Safi na Roho chafu.

Unataka tuendelee na mjadala.
 
Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani
Achana na hayo mambo tenda mema fanya yaliyo mazuri, usimkwaze mtu wala kumvunjia mtu utu wake , hizi dini zililetwa ili tusifanyiane unyama.
 
😀😀😀

Na Nafsi ni kitu gani?
Binadamu ni kama Computer tuu.
Kuna software na hardware ndani ya computer.
Software ni Nafsi
Hardware ni Mwili.
Alafu kuna kitu kinaitwa umeme ambao ndio nguvu inayofanya Computer iwakw na ufanye kazi. Umeme ni Nishati.

Kwa binadamu Nishati hiyo au umeme huo huitwa Roho.
Roho ndio Nishati inayofanya mwili na Nafsi zifanye kazi.
Roho haina utambuzi Ila kuna Roho Safi na Roho chafu.

Unataka tuendelee na mjadala.
Nafsi ni tofauti na Roho,kimsingi mtu ameumbwa na sehemu kuu tatu
Nafsi
Roho
Mwili
Hizi ni sehemu tofauti na Kila moja Ina majukumu yake ya kimsingi
 
Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani

Nafsi hai na Nafsi mfu.
Ili Nafsi iwe hai itahitaji Nishati iitwayo Roho.
Nishati ikitoka Nafsi inakuwa mfu.

Ukisikia MTU akisema Roho ya Mungu I juu yangu anamaanisha nguvu au Nishati ya Mungu Ipo katika Nafsi yake(software yake)

Sasa kuna mwili Kufa na Nafsi Kufa.
Kwenye computer hardware inaweza kids lakini software ikawa hai.
 
Nafsi ni kiungo kati ya roho ya mtu na mwili wake,wewe unapata taarifa kutoka ulimwengu wa roho Kwa roho yako nafsi inakuwa daraja au kiungo kuzileta mwilini
 
Nafsi ni tofauti na Roho,kimsingi mtu ameumbwa na sehemu kuu tatu
Nafsi
Roho
Mwili
Hizi ni sehemu tofauti na Kila moja Ina majukumu yake ya kimsingi

Sasa ulichoelezea saa zile ni Habari za Nafsi.
Hukuelezea Maana ya Roho.

Nafsi unazungumzia habari za Subconscious mind. Ambapo ndio utu wa MTU ulipo.
Huko ndio kuna ID, Ego na super Ego.
 
Back
Top Bottom