Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #101
Huyo sio shoga mkuu, ni msichana mrembo tu, sema anapenda kutetea hayo mambo, hako ni ka binti murua kabisa na kana 23, nilishawahi kumeet nako sehemu hapo sinza.
Eternity
God and Satan are spiritual beings ,akili zako za shuleni haziwezi kukupa uelewa wowote kuhusu wao
Roho siyo nishati mkuuSpirit ni nini nawe?
Roho ni Nishati.
Roho haina utambuzi,
Ukiambiwa ueleze maana ya Roho bila kuhusisha Nishati utaielezaje?
Roho siyo nishati mkuu
SI kweliTOA maana ya Roho.
Roho ni nishati ya uhai Kwa viumbe.
Sasa sijui kama unamaana nyingine
SI kweli
Nani aliyekudanganya shetani ana hivyo vipawa huu uongo umeutolea wapi
Ulisikia lini serikali inahubiri mambo ya mungu au bwana shetani?Kama unaamin shetani anahusika kweny maovu kwann serikali hutoa hukum ya kunyongwa kwa muuaji why shetani asihukumiwe?
uongeza. Someni dini ndo mje kureason.
Kwa mantiki hiyo binadamu ameingizwa kwenye bifu ambalo hajui chanzo wala muelekeo wake! Yaani anaburuzwa kama tela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amemwachilia aendelee kutudanganya sisi waja wake na kuharibu dunia? Huyu mungu mbona simwelewi, kama ana uwezo kwanini asimbadilishe shetani akawa na tabia njema kama yeye, na sisi binadamu tukaishi kwa amani na utulivu, na kama ana uwezo kwann huyo mungu aruhusu magonjwa, vita, tabu, njaa na dhiki na vifo kama anatupenda kweli?Kama Mungu angefanya hivi ingeonekana ya kwamba Mungu ni dhaifu,na anamhofia shetani,Kwa hiyo Ili Mungu endelee kuonenekana mkuu Kwa viumbe vyake amemwachilia shetani mpaka mwisho wa nyakati
Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani
Achana na hayo mambo tenda mema fanya yaliyo mazuri, usimkwaze mtu wala kumvunjia mtu utu wake , hizi dini zililetwa ili tusifanyiane unyama.Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani
Nafsi ni tofauti na Roho,kimsingi mtu ameumbwa na sehemu kuu tatuπππ
Na Nafsi ni kitu gani?
Binadamu ni kama Computer tuu.
Kuna software na hardware ndani ya computer.
Software ni Nafsi
Hardware ni Mwili.
Alafu kuna kitu kinaitwa umeme ambao ndio nguvu inayofanya Computer iwakw na ufanye kazi. Umeme ni Nishati.
Kwa binadamu Nishati hiyo au umeme huo huitwa Roho.
Roho ndio Nishati inayofanya mwili na Nafsi zifanye kazi.
Roho haina utambuzi Ila kuna Roho Safi na Roho chafu.
Unataka tuendelee na mjadala.
Roho ni existence ,ni utu wa ndani ,kama wewe ulivyo ,Kuna utu mwingine wa ndani
Nafsi ni tofauti na Roho,kimsingi mtu ameumbwa na sehemu kuu tatu
Nafsi
Roho
Mwili
Hizi ni sehemu tofauti na Kila moja Ina majukumu yake ya kimsingi