Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

Fanya toba kijana hii kufru uliyoiandika hapa tena katika mwezi mtukufu itakutafuna vibaya sana kama utakufa nayo bila kutubu
 
Fanya toba kijana hii kufru uliyoiandika hapa tena katika mwezi mtukufu itakutafuna vibaya sana kama utakufa nayo bila kutubu

Huu ni mjadala.
Mungu ninayemuamini Hana huo ujinga unaoufikiri. Na wala sina haja ya kuomba toba
 
Ukijielewa wewe haya ya viumbe wengine utayajua pia

Unakubali binadamu amegawanyika katika sehemu tatu. Hata wanafalsafa wakubwa na manabii wanakubali Hilo.
Hata Mimi nakubali.

Sasa kama Roho ni utu wa ndani embu tuambie wanyama wanaohuo utu wa ndani?

Ndio maana nikakuambia Roho ni nishati ya uhai Kwa viumbe wote ikiwemo Wanyama na mimea.
 
Energy can neither be created nor destroyed

Hiyo ni law ya Energy conservation.
Hata hivyo inarejelea hoja ileile kuwa Roho huwezi kuiumba wala huwezi kuiharibu Kwa sababu Roho ni energy haifi wala haitengenezwi.

Nafsi umekumbwa Ila Roho haijaumbwa.

Bado hauelewi kuwa Roho ni nishati
 
Roho ovu zinakufa

😀😀😀
Wewe ngoja nikuache maana unajadili vitu vigumu usivyovijua.
Roho haionekani ni nishati ya uhai, inakufaje?

Hujasema hata characteristics ya kiumbe hai 🤣🤣
Roho sio kiumbe
Roho ni nguvu au Nishati inayofanya kiumbe kiwe hai.
Kinachokufa ni kiumbe.
Roho haujawahi kuumbwa Kwa sababu Roho ndio nguvu ya uhai
 
Back
Top Bottom