Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Wewe nimekuuliza habari za roho umezitoa wapi?Hiyo ni law ya Energy conservation.
Hata hivyo inarejelea hoja ileile kuwa Roho huwezi kuiumba wala huwezi kuiharibu Kwa sababu Roho ni energy haifi wala haitengenezwi.
Nafsi umekumbwa Ila Roho haijaumbwa.
Bado hauelewi kuwa Roho ni nishati