Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya.
Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa underestimate wenzie akina Priva na Kamwe. Anawadharau sana na kuwaona hawana akili isipokuwa yeye tu.