Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Haji hana muda mrefu Gongowazi karibun ndoa yao ita tamatika
Hata mashabiki wamegawanyika
 
Lini wewe ukawa na akili, Haji ana cheo gani Yanga?
Ni msemaji wa Club kwani ile press kutoka Yanga kudai haitambui hukumu aliyopewa Manara na kusisitiza wapo pamoja naye kwenye kutafuta haki katika vyombo vingine, hukuiona?
 
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya.

Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa underestimate wenzie akina Priva na Kamwe. Anawadharau sana na kuwaona hawana akili isipokuwa yeye tu.

Hamna akili ndio hata akiwatukana kwani mnajua kuwa mmetukanwa?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simuweziii kabisaaa
Mtoto wa Kariakoo plus magomeni,mzaramo plus mmanyema mjinj hajaja wa mbio za Mwenge ila mbio za Mwenge zimemkuta yeye!!!!
 
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya.

Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa underestimate wenzie akina Priva na Kamwe. Anawadharau sana na kuwaona hawana akili isipokuwa yeye tu.

Akwani uongo
 
Mtoto wa Kariakoo plus magomeni,mzaramo plus mmanyema mjinj hajaja wa mbio za Mwenge ila mbio za Mwenge zimemkuta yeye!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watagombanaa hadi baas. Lol
Haji akae pending na mambo ya Yanga yeye aendelee tu kuwa balozi ya GSM km GSM atawavuruga wenziwe wakati wale vijana hawana shida Wana nidhamu halafu wastaarabi tu
 
Tatizo la haji anapenda kupewa umuhimu zaid yeye hapendi kuamini kuwa wapo watu watakaokuja na watafanya kazi kama aliyofanye yeye kuliko yeye, wakati huo yeye kinacho msaidia ni maneno mengi ya kashfa za kudhalilisha watu.
Kaona mambo yanaenda kwa utulivu kashindwa kuficha chuki kwa watu waliopewa nafasi yake
 
Haji hana muda mrefu Gongowazi karibun ndoa yao ita tamatika
Hata mashabiki wamegawanyika
Haji ni mkubwa kuliko Yanga . Hakuna wanachoweza kumfanya. Wajichanganye waone , Mashabiki na viongozi wao wote Manara atawacharaza bakora
 
Back
Top Bottom