SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Haji anajona yeye ndiyo kila kitu Yanga kwa sasa,na ni kama anathibitisha kuwa kweli Yanga wenye akili ni watatu tu kwa sasa,yeye, Baba yake na JK. Huyu Haji yuko Yanga kupiga hela tu kama chawa wa Ghalib,hana mapenzi ya dhati na Yanga, huyu hata mechi ya juzi amefurahi Sana sana Yanga kupasuliwa na Simba. Na siku wana Yanga fahamu zikawarudia na kubaini ukweli wa Haji Manara watamgawana.Haji Manara bwege tu hata yeye ameongea tambo za kijinga tu kabla ya mechi hiyo