Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Jamaa anaongeaga maneno ya shombo aisee duuh!

Sijui anajisikiaje baada ya Simba kuifunga Yanga!
 
Kwa hiyo wenye akili huko uto wameongezeka sasa sio wawili tena ni watatu?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huyu dogo ni sawa tu na Zitto Kabwe kwenye siasa, cha kuchekesha zaidi wote ni Waha (mazwazwa wa Kigoma). Hawa watu ni wanafiki na waze wa kucheza na fursa, Manara hana issue yeyote na anafifia sasa baada ya watu kumgundua kuwa ni mpuuzi tu na ndiyo maana kila kukicha anakuja na vimbwanga vipya ili watu wamzungumzie. Huyu ni wa kumpuuza tu kama anavyopuuzwa Zitto na wenzake serikalini baada ya kumgundua kuwa ni mnafiki.
 
Kwa siye watu wa Pwani huwa tunaita Tafsida. Yaana mtu badala ya kukuita "Mshenzi" anakwambia "wewe Jamaa siyo Mstaarab" sasa hapo ule msemo wa Kiingereza "Vise Versa is True" ndipo unapotumika.

Hadji anaposema "Mwenzenu mimi nina akili" anamaanisha kwamba wana-Yanga wenzake hawana akili.
Kumbe wewe nu mtoto wa pwani
 
Polimi Lai FC[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ila watu wa Kigoma ni wanafkiiiii daah
 
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya.

Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa underestimate wenzie akina Priva na Kamwe. Anawadharau sana na kuwaona hawana akili isipokuwa yeye tu.

Tangu lini chizi akawa na akili?
 
Kwa siye watu wa Pwani huwa tunaita Tafsida. Yaana mtu badala ya kukuita "Mshenzi" anakwambia "wewe Jamaa siyo Mstaarab" sasa hapo ule msemo wa Kiingereza "Vise Versa is True" ndipo unapotumika.

Hadji anaposema "Mwenzenu mimi nina akili" anamaanisha kwamba wana-Yanga wenzake hawana akili.
Ndo maana ake, na alishasema kule wenye akili ni wawili tyuuh, ina maana sahivi kajiongeza na yeye, ko wako wa 3, ila manara mjanja lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom