Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya.

Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa underestimate wenzie akina Priva na Kamwe. Anawadharau sana na kuwaona hawana akili isipokuwa yeye tu.

Your browser is not able to display this video.

 
hahaaaaa emenenaa uhalisiaaa, maneno hayana mbambambaa
 

haaa haaaaa! Eti yanga wapunguze kuongea watadharilika.
 
.
 

Attachments

  • JamiiForums-20544534.jpeg
    37.2 KB · Views: 4

Kama una shida naye mtafute, usituingize kwenye ugomvi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…