Haji Manara abubujikwa machozi akimuelezea aliyemtweza sababu ya rangi ya ngozi yake,asema anamuachia Mungu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.

Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu

Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.

Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.

Haji naye apunguze kamdomo
 
Yawezekana ama humjui vyema Manara au umejawa na Unafiki na Uyanga ila kwa tunaomjua hasa Manara yeye ndiyo anaongoza si tu huko Kutweza Watu bali hata Kuwadhalilisha, Kuwatukana na Kuwatishia Maisha vile vile. Wadanganye wasiomjua Manara ila siyo Sisi Watu wa Media and Communication ambaye tunamjua ndani nje.
 
Zamani alikuwa anakula Sana makubeli. Sasa kubeli zimepigwa marufuku sijui anaranduka nini siku hizi!

Nasikia pia anapiga sana mirungi.
Mtumiaji mzuri wa "ubalozi"

099B85A5-C788-4A0D-8218-FB89A1439D64.jpeg
 
Back
Top Bottom