Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Hapo ni open space kamanda upo BUNDA nini??Huyu jamaa ni shida tupu ; huoni mpaka yuko bafuni na singileti 😳😳
Hapo ni open space kamanda upo BUNDA nini??Huyu jamaa ni shida tupu ; huoni mpaka yuko bafuni na singileti 😳😳
Una akili mbovu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia, tena kwa herufi kubwa.
ZERU ZERU. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Domo hilo hilo ugoro, sigara, bangi, mirungi,shisha na pombe kweli litaacha kutoa uvundo?X wake aliswma ananuka mdomo hakuna sehemu kataja rangi
Mzee Tozi wa bandarini ndiye alimvua ubingwa huyu Sope, alikuwa anautaka udiwani basi Mzee Tozi akamwambia yeye atamsaidia kuupata ndiya akajisalimisha kwa Mzee na mzee alipomaliza haja zake akampa kisogo, hii habari iliwekwa hadharani na Kigogo 2014 baada ya Haji kumchokoza Kigogo na baada ya Hapo Haji hajawahi tena kumsema Kigogo kwani alivuliwa nguo mchana kweupe.Hiv mzee Tozi kwan anasemaje????
Na Kigogo2014 huyu ndiye alimmaliza kabisaJerry Muro ndio kiboko yake
Na hiyo ni project mahsusi ya CCM kuwafanya watu waongelee ujinga ujinga tu masaa yote huku wao wanajipakulia minyama ya keki ya Taifa bila bughdhaUkienda kwenye media, unawakuta Kitenge, hando, Zembwela, vilaza watupu, simple mind, ukienda kwenye sport, kuna wale wasemaji wa Yanga na Simba, ukiwasikiliza unajiuliza, are this the best people in sports, simple mind,
Binti wa, Gardner anaenda clouds, kuongelea aliyempachika mimba! Na, hii inaonekana ni mada muhimu kabisa, kuongelewa kwenye chombo cha habari!
Eti baby daddy wako ni nani?
Na, anayeuliza ni mtangazaji, wa kiume!
Mpira, ngono, umbeya,ndio vimetawala kwenye radio zetu,, watu hawaongelei swala la Congo, Palestine, wanaongelea sensentional issues, Yule kaachwa, kabakwa, kaachika na upuuzi, mwingine,
Huyo anaona midomo tuu. Since ndiyo kasema pia kuhusu Ki?X wake aliswma ananuka mdomo hakuna sehemu kataja rangi
KalikonjiAlbino kwa kiswahili anaitwaje wadau
Masikini Zaylisa anaumia kimoyomoyo kuishi na mshenzi kama huyu
Yeye mbona aliwatweza "wazee wafupi" wa Simba? Huyo ni albino tu!Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.
Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu
Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.
Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.
Haji naye apunguze kamdomo