Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Naskia na kitimoto pia anakichapa fresh tu
Naskia na kitimoto pia anakichapa fresh tu
Hata usijari, wakili msomi niko hapa.Kumbeeee🤔
Haya, nitakuja maana nina kesi yangu naona kabisa naenda kunyongwa live.
Wala kubeli walihamia kwenye ugoro ndo maana ugoro umekuwa dili sanaZamani alikuwa anakula Sana makubeli. Sasa kubeli zimepigwa marufuku sijui anaranduka nini siku hizi!
Nasikia pia anapiga sana mirungi.
Sawa wakiliHata usijari, wakili msomi niko hapa.
Wala hata usijar, nyie ndo mnisamehe mie kwa kuongea ukweli.Hii haijakaa Poa Sister.
Naomba kama nimekosea kukusahihisha Unisamehe bure.
Zeru ZeruAlbino kwa kiswahili anaitwaje wadau
🍻Sawa wakili
Duh!...Zamani alikuwa anakula Sana makubeli. Sasa kubeli zimepigwa marufuku sijui anaranduka nini siku hizi!
Nasikia pia anapiga sana mirungi.
Hapo sasa... Ndiyo maana nawaona vijana wamekuwa na urafiki na wamasai?Wala kubeli walihamia kwenye ugoro ndo maana ugoro umekuwa dili sana
SijapendaKwani uongo? Ni Zeru zeru,
A.K.A Takadini, Sope. 😂😂😂😂😂
Kwahiyo? 😂😂😂😂Sijapenda
😳Kwani uongo? Ni Zeru zeru,
A.K.A Takadini, Sope. 😂😂😂😂😂
Sikia, aliyemtweza kapatia anastahili tuzo.Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.
Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu
Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.
Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.
Haji naye apunguze kamdomo
Polee
Nakazia, tena kwa herufi kubwa.Sijaelewa ni kwa nini watu wanadhani kumwita mtu zeruzeru ni tusi ila albino si tusi.
Kusema ana uzeru zeru inaonekana kuwa ni lugha ya kudhalilisha ila albinism ni sawa.
Kwa mtazamo wangu zeru zeru ni nzuri zaidi kwa kuwa ni kwa binadamu tu, wakati albino na albinism ni hadi kwa wanyama na mimea.
Sisi zeru zeru si maelezo ya udhaifu/upungufu bali ni maelezo ya muonekano wa mtu ila Albino na Albinism ni maelezo ya udhaifu ama upungufu.
Tunautukuza Sana uzungu.
cocastic