Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,461
- 19,779
Sitashangaa, Haji muhuni muhuni sana hata hilo kumkingia kifua ni shughuli.Naskia na kitimoto pia anakichapa fresh tu
Sitashangaa, Haji muhuni muhuni sana hata hilo kumkingia kifua ni shughuli.Naskia na kitimoto pia anakichapa fresh tu
Mh mkuu basi na wewe ni fundi.Kwanza huyo Takadini anakutana na watu wenye ustaarabu, kwa zile hulka zake akutane na mtu km mie, nampa mijineno mipya mipya mbna anakufa kwa kihoro.
Nashangaa watu kumuogopa mzungu pori, mbna hata hasitui kabisa. Lol
Inichome kwanini, kwani mimi... Au basiKwahiyo? 😂😂😂😂
Najua lazima ikuchome km pasi.
Kwa hilo niseme nina PhD, sina haja ya kwenda VETA kabisaa. 😂😂😂😂Mh mkuu basi na wewe ni fundi.
Unajua kupigana vita vya maneno ni ujuzi kama wa sanaa.
Ni utaalamu unaotakiwa kuwa na karama ya ujuzi wa kutunga na kufyatua albamu za papo kwa hapo.
Mkuu,Hii haijakaa Poa Sister.
Naomba kama nimekosea kukusahihisha Unisamehe bure.
Ahaa na wabaya wake wakilijya hilo watapiga hapo hapoSikia, aliyemtweza kapatia anastahili tuzo.
Mi hufurahia sana kushuhudia mbabe yeyote akifikia hatua ya kukwamishwa na kupelekea hadi kulia kiuhalisia.
Huyo bwana kwa mdomo hawezekani na kama kawezekana, basi hasimu wake anastahili pongezi.
Ukipigana naye vita vya maneno ni lazima akudhalilishe tu ni fundi sana wa kuuchongoroa mdomo wake na ukisema umpige, umepiga mlemavu, umepiga albino unafungwa.
Sasa kuona leo naye mambo yamengeukia kalizwa kwa kudhalilishwa, mambo yameenda vizuri, hapo ni win win stuation.
Huwa kama naangalia jambo lolote huegemeza huruma zangu kulinda haki za aliye upande wa mnyonge na huumizwa sana na ukandamizaji wa kibabe.
Hata kama naangalia documentary ya wanyama pori, huumia sana kuona mnyama mbabe akidhalilisha myama mwenziye anayeshindwa kujitetea!
Nikiona mdhalilishaji, mfano fisi ama simba kazingirwa kakamatwa anaanza kuliwa huku akipiga kelele, hujikuta nafarijika na kukazia macho kuangalia mpaka mwisho.
Ndiyo haya ya Manara, muosha kaoshwa.
Twende VETA KUCHUKUA VYETI MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI/ FIELD.Kwa hilo niseme nina PhD, sina haja ya kwenda VETA kabisaa. 😂😂😂😂
Doh kumbe blaza dawa za mswaki hazimsaidii?X wake aliswma ananuka mdomo hakuna sehemu kataja rangi
Nusu Mzungu, em niwachee, nacheka had napaliwa hapa.Inichome kwanini, kwani mimi... Au basi
Wee em apia? 😂😂😂Twende VETA KUCHUKUA VYETI MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI/ FIELD.
VETA ni kwenda KUCHUKUA VYETI/ CHETI ILA MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI/FIELD 😊😊Wee em apia? 😂😂😂
Nakubali.VETA ni kwenda KUCHUKUA VYETI/ CHETI ILA MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI/FIELD 😊😊
Ni kama jina la utani vile!Ahaa na wabaya wake wakilijya hilo watapiga hapo hapo
Hii imeendaa, 😂😂😂😂Bongo kuna maajabu sana, mke wake anatweza maumbile ya Aziz Ki ya mdomo wake, anasahau yeye analala na zeruzeru anayefanana na nguruwe.
Nimesima nae mnazi mmoja mkoja primary school alinitangulia madarasa,namfahamu kitambo sanaYawezekana ama humjui vyema Manara au umejawa na Unafiki na Uyanga ila kwa tunaomjua hasa Manara yeye ndiyo anaongoza si tu huko Kutweza Watu bali hata Kuwadhalilisha, Kuwatukana na Kuwatishia Maisha vile vile. Wadanganye wasiomjua Manara ila siyo Sisi Watu wa Media and Communication ambaye tunamjua ndani nje.
Waswahili tuna matatizo, hata matako hawataki uyataje na ndio jina la kiungo.Sijaelewa ni kwa nini watu wanadhani kumwita mtu zeruzeru ni tusi ila albino si tusi.
Kusema ana uzeru zeru inaonekana kuwa ni lugha ya kudhalilisha ila albinism ni sawa.
Kwa mtazamo wangu zeru zeru ni nzuri zaidi kwa kuwa ni kwa binadamu tu, wakati albino na albinism ni hadi kwa wanyama na mimea.
Sisi zeru zeru si maelezo ya udhaifu/upungufu bali ni maelezo ya muonekano wa mtu ila Albino na Albinism ni maelezo ya udhaifu ama upungufu.
Tunautukuza Sana uzungu.
cocastic