cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Una kihoro hadi unashindwa kuandika vizuri,Hongera mwanasheria soga😳😳
Poleee. 😂😂😂😂
Una kihoro hadi unashindwa kuandika vizuri,Hongera mwanasheria soga😳😳
Nimeamdika hivyo makusudi, nilijua wewe utanielewa🤪🤪Una kihoro hadi unashindwa kuandika vizuri,
Poleee. 😂😂😂😂
Waja mna visa nyie, woiiiihHiv mzee Tozi kwan anasemaje????
Kwani nimesema uongo? Si ukweli halisi.Unazingua Sasa dada angu nakuheshimu sana
Nini tena?Wouh!!
Huyo nasikia ndyo mwandani wa mzungi poriWaja mna visa nyie, woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah Aunt Coca🤣🤣 lainisha lugha bhasi hujafa hujaumbikaKwani nimesema uongo? Si ukweli halisi.
Sope. 😂😂😂😂Aah Aunt Coca🤣🤣 lainisha lugha bhasi hujafa hujaumbika
CjapendaSope. 😂😂😂😂
Aaah ndo hivyo.Cjapenda
Hata mie nasikia hivyo.Huyo nasikia ndyo mwandani wa mzungi pori
Nakusabahi tuNini tena?
Ahsante nashukuru.Nakusabahi tu
Barikiwa sanaAhsante nashukuru.
Amina.Barikiwa sana
Yule jamaa anapiga fegi sio mchezo lazima anuke mdomo.X wake aliswma ananuka mdomo hakuna sehemu kataja rangi
Kuna wakati alimkashifu yule mwanadada wa cloud s mchezoYawezekana ama humjui vyema Manara au umejawa na Unafiki na Uyanga ila kwa tunaomjua hasa Manara yeye ndiyo anaongoza si tu huko Kutweza Watu bali hata Kuwadhalilisha, Kuwatukana na Kuwatishia Maisha vile vile. Wadanganye wasiomjua Manara ila siyo Sisi Watu wa Media and Communication ambaye tunamjua ndani nje.
Huyu jamaa ni shida tupu ; huoni mpaka yuko bafuni na singileti 😳😳Shida ni misigara na pombeView attachment 3278550