Ukienda kwenye media, unawakuta Kitenge, hando, Zembwela, vilaza watupu, simple mind, ukienda kwenye sport, kuna wale wasemaji wa Yanga na Simba, ukiwasikiliza unajiuliza, are this the best people in sports, simple mind,Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.
Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu
Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.
Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.
Haji naye apunguze kamdomo
Hongera mwanasheria soga😳😳Mie mwenyewe Mwanasheria. 😂😂😂😂
Tatizo la ajira nchini lipo ni sababu hatuna competent peopleUkienda kwenye media, unawakuta Kitenge, hando, Zembwela, vilaza watupu, simple mind, ukienda kwenye sport, kuna wale wasemaji wa Yanga na Simba, ukiwasikiliza unajiuliza, are this the best people in sports, simple mind,
Binti wa, Gardner anaenda clouds, kuongelea aliyempachika mimba! Na, hii inaonekana ni mada muhimu kabisa, kuongelewa kwenye chombo cha habari!
Eti baby daddy wako ni nani?
Na, anayeuliza ni mtangazaji, wa kiume!
Mpira, ngono, umbeya,ndio vimetawala kwenye radio zetu,, watu hawaongelei swala la Congo, Palestine, wanaongelea sensentional issues, Yule kaachwa, kabakwa, kaachika na upuuzi, mwingine,
Fala wewe😂Oya manara niaje 😁😁
Paliwa kabisa 😂Nusu Mzungu, em niwachee, nacheka had napaliwa hapa.
Kwann lakini? 😂😂😂😂😂
Sope analia😂😂😂😂🤣😂😂 Sope, hili jina nimelisikia muda sana sijui umewaza nini
Ni juzi alitamka hadharani (VIZEE VIFUPI KWELI KWELI)Kama unakejeli watu husichagulie watu namna ya kukukejeli
Shida ni misigara na pombeX wake aliswma ananuka mdomo hakuna sehemu kataja rangi
Bora sigara,shishaShida ni misigara na pombeView attachment 3278550
Ukiamua kuwa bondia usiogope ngumi za usoAlianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.
Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu
Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.
Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.
Haji naye apunguze kamdomo
Kumbeeee🤔
Haya, nitakuja maana nina kesi yangu naona kabisa naenda kunyongwa live.
Yeye si ana mdomo watu wamepiga kwenye gejiHaji huwa anapenda kutumia ulemavu wake kama kinga.....
Ila awe anajifunza kukaaga kimya wakati ambao kelele hazihitajiki.Yeye si ana mdomo watu wamepiga kwenye geji
Mbona yeye anawasema wazee wafupi wa simba?Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.
Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu
Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.
Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.
Haji naye apunguze kamdomo
Bambo anamuita PAPAI KOROFI😂😂 Sope, hili jina nimelisikia muda sana sijui umewaza nini
Takadini-Tumefanya nini?😂😂 Sope, hili jina nimelisikia muda sana sijui umewaza nini
Mxxxxiiiieeew, 😂😂😂😂Paliwa kabisa 😂