Haji Manara abubujikwa machozi akimuelezea aliyemtweza sababu ya rangi ya ngozi yake,asema anamuachia Mungu

Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.

Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu

Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.

Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.

Haji naye apunguze kamdomo
Kiboko ya haji ni rushayna ana siri nyingi na udhaifu mwingi wa haji ndio maana haji hamjibu huyo mwanamke!
 
Haji huwa anapenda kutumia ulemavu wake kama kinga.....
Pmj na yote hayo bado Kuna raia hawana staha Wala kiasi kwenye mazungumzo hasa sisi watanzania hebu fikiria mtu anaweza kupost tu mtt wake ambaye hana anachojua malaika wa watu lkn njoo uone michango ya wabongo Sasa unaanza kuumia ww kabla ya muhusika
 
Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.

Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu

Hii ni mara ya pili Haji Manara anabubujikwa machozi kwa wanaomtweza utu wake sababu ya rangi ya ngozi yake Miaka ya nyuma Jerry Muro sliwahi kumkashifu kuhusu ngozi yake najuibua kilio.

Tutaniane ila tusivuke mstari,hakuna aliyechagua kuzaliwa mlemavu.

Haji naye apunguze kamdomo
Hapo laini ya mwisho

Apunguze mdomo
 
Back
Top Bottom