GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari.
“Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa mkutano wake na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.
Chanzo: habarileo_tz
Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji acha kutaka Kuwadanganya Watu. Hivi Logically tu Haji Manara kuna tofauti kati ya Information Officer na Communication Manager? Tuliosoma vyema Mass Communication na Kubobea nayo hapa si tu tunakudharau ila pia tunakuona Kichwani zimekupungua.
Tofauti Kuu haya maneno Mawili ya Afisa Habari na Msemaji yanatofautiana tu ni Taasisi gani uliopo ila tunajua ukiwa katika Public Sector utaitwa Afisa Habari na ukiwa katika Private Sector utaitwa Communication Manager na Wengine huitwa Corporate Directors au Chief Communication Officer ila Kimsingi hawa Wote yale Majukumu yao Mama ni yale yale tu.
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hukuwahi kupatana na Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na hata Kuongea Kwenu ni kwa Kulazimisha na kwa Kinafiki ila Kutwa mnasemana vibaya ( kupigana Majungu ) huku mkiharibiana kwa Tajiri yenu Mkuu GSM na Rais wenu Hersi.
Na kinachokuumiza sasa Haji Manara ni kuona yule Mtu ambaye Kwanza hukumtaka apewe hiyo Nafasi yako si tu kwamba ameiweza vyema hadi Pengo lako Kuzibika ila pia amekuja na Ubunifu wa Kipekee ambao kwa hali ya Sera ya Mpira Biashara ya sasa ndiyo unaotakiwa na Klabu yenye Mafanikio kwa sasa kama ya Watani zangu Yanga SC.
Kwa huku Kurejea Kwako tu ndani ya Yanga SC na kuanza haya Majungu yako naona Vita fulani inakuja mbeleni Ok?