Amejaa kiburi, majivuno, dharau, kebehi plus ushamba ulimbukeni pamoja na sifaza kiijinga pamoja na kuzaliwa Kariakoo!
Halafu sijui hii dhana aliileta nani, eti ukizaliwa DSM wewe una akili na maarifa kuliko wengine! Ujinga upumbavu,ushamba na ulimbukeni huwa haijalishi umezaliwa na kukulia wapi!
Hivi vitu vipo katika jamii zote duniani na katika mazingira yote iwe mjini ama shambani! Kujifunza na kujielimisha ni tabia ya mtu mmoja mmoja.
Mfano katika dunia ya leo, ukiamua kuwa mjinga, mpumbavu,limbukeni,mshamba n.k ni wewe mwenyewe na siyo mazingira kwamba nimekulia mjini au kijijini!