Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

Malimbukeni ndo huwa wana keep rekodi kwa sbb kwao ilikua ni ndoto ya muda mrf...nachokwambia mtani trh 8 mtahama humu jukwaani...
Duuh!
Kwa timu yenu ile, mtani una moyo wa kijasiri sana kutoa kauli hiyo.
Kule Kibu D hajulikani alipo, mara Coastal Union wanasema Lawi wa kwao, mara Ayoub Lakred kajivunja mwaka 1 nje ya uwanja...
Naona kila mkosi unawafuata.
 
Naona nyie ndo mna wasiwasi kuliko sisi..
Ayoub nae amerudi amenenepa mno...
 
Back
Top Bottom