Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Usisahau siku ile ya tarehe tano ulijifanya kutoka nje ya network. tarehe nane utatoka nje ya dunia..!!Malimbukeni ndo huwa wana keep rekodi kwa sbb kwao ilikua ni ndoto ya muda mrf...nachokwambia mtani trh 8 mtahama humu jukwaani...
Una uhakika trh 5 sikuwepo jukwaani?? Umechanganya mafaili...ingekuwa nyie ndo wa kwanza kumpiga mtu 5 basi ningetoka ila hizo 5 ambazo mshapigwa sana tuu ndo zitushtue...acha basi...ndo maana nasema ni ulimbukeni huo...Usisahau siku ile ya tarehe tano ulijifanya kutoka nje ya network. tarehe nane utatoka nje ya dunia..!!
Tarehe nane utatoka nje ya duni ndugu NTANI..!!Una uhakika trh 5 sikuwepo jukwaani?? Umechanganya mafaili...ingekuwa nyie ndo wa kwanza kumpiga mtu 5 basi ningetoka ila hizo 5 ambazo mshapigwa sana tuu ndo zitushtue...acha basi...ndo maana nasema ni ulimbukeni huo...
Nasubiria tuone..Tarehe nane utatoka nje ya duni ndugu NTANI..!!
Mpaka hapa tayari..!!Nasubiria tuone..
Kaaa kwa kutulia kijana acha kupapatuka...trh 8 si inakuja? Mbona kama unajipa matumiani kabla ya kifo...Mpaka hapa tayari..!!
Chama ana usongo na nyie, Dube kama kawa nyie ni mwembe wake wa uani anajichumia tu embe muda atakao, Aziz Ki ndo usiseme, Nzengeli aliwasweka mbili kwenye zile 5 naye hatawaacha. Pakome mnaye huyo..!!!Kaaa kwa kutulia kijana acha kupapatuka...trh 8 si inakuja? Mbona kama unajipa matumiani kabla ya kifo...
Kumbe naongea na tape rekoda inarudia ushubwada ule ule kwa sbb imekariri😃😃kichwa kimejaa hisia na sio uhalisia...simba ile ilokua na wasaliti mob? Ndo utaifananisha na hii...kaka ni bora ukakaa kimya ball litembee liamue...Chama ana usongo na nyie, Dube kama kawa nyie ni mwembe wake wa uani anajichumia tu embe muda atakao, Aziz Ki ndo usiseme, Nzengeli aliwasweka mbili kwenye zile 5 naye hatawaacha. Pakome mnaye huyo..!!!
Manara anaenda kumwaga ugali wa hao vijana, madogo kazi wanayo.Ally Kamwe na Priva wajipange, jamaa atawaendea kw Msisi na Pangani, atachinja kondoo na mbuzi za kafara mpaka basi.
GSM ampe hata udereva wa malori
Ni mjinga peke yake ndio anayeweza kumuunga mkono Manara.Wanaomsema Manara wote ni Makolo
Wanaomshabikia Magoma, wote ni Makolo
Taabu ipo pale pale. Na sisi tunawafunga kwa tarehe. Ilikuwa tarehe tano, sasa ni tarehe nane
Hizi takataka zote pamoja na Manara zinatembea na fursa.
Digital ContentHivi Privaldinho kazi yake pale ni ipi
Ndo tunawapenda watu wa hivyo kwa sbb tunapenda drama...ila ki uhalisia timu zetu zina mapandikizi wa kutoshaHizi takataka zote pamoja na Manara zinatembea na fursa.
Wala hatuzipendi, tatizo sasa hivi Yanga hakuna mtu mwenye jeuri ya kumbishia GSM.Ndo tunawapenda watu wa hivyo kwa sbb tunapenda drama...ila ki uhalisia timu zetu zina mapandikizi wa kutosha
Amejaa kiburi, majivuno, dharau, kebehi plus ushamba, ulimbukeni pamoja na sifa za kijinga pamoja na kuzaliwa Kariakoo!Anajiona ni mkubwa sana kwamba mpira unamuhitaji sana yeye hii ndio shida yake.
Ukiona mtu anajitambulisha kwa kabila la mama yake ujuwe huyo ni tutusa.Amejaa kiburi, majivuno, dharau, kebehi plus ushamba ulimbukeni pamoja na sifaza kiijinga pamoja na kuzaliwa Kariakoo!
Halafu sijui hii dhana aliileta nani, eti ukizaliwa DSM wewe una akili na maarifa kuliko wengine! Ujinga upumbavu,ushamba na ulimbukeni huwa haijalishi umezaliwa na kukulia wapi!
Hivi vitu vipo katika jamii zote duniani na katika mazingira yote iwe mjini ama shambani! Kujifunza na kujielimisha ni tabia ya mtu mmoja mmoja.
Mfano katika dunia ya leo, ukiamua kuwa mjinga, mpumbavu,limbukeni,mshamba n.k ni wewe mwenyewe na siyo mazingira kwamba nimekulia mjini au kijijini!
Halafu hao ndiyo wanajifanya Yanga sanaaa kuliko hata Yanga yenyewe.Hizi takataka zote pamoja na Manara zinatembea na fursa.
Huyu kiboko yake Kigogo tu, wakati ule Kigogo anamtaabisha JPM akajaribu kupimana ubavu na Kigogo alipigwa ndonga moja tu ya Mzee Tozi alichomfanya kwa ahadi ya kumsaidia kupata udiwani, alinywea hakurudia tena kumgusa Kigogo maana mwamba alimwambi akijaribu tena ataweka na ushahidi wa picha.Wala hatuzipendi, tatizo sasa hivi Yanga hakuna mtu mwenye jeuri ya kumbishia GSM.
Lakini ifike wakati GSM aambiwe hawa machawa wake awapeleke kwenye makampuni yake huko kuna nafasi nyingi za kuwapa wao kufanyakazi na kupata riziki zao.
Mtu kama Manara hafai kabisa jitu linalodhani yeye ni special wakati ni lipumbavu fulani.
Wanaomjuwa Manara Simba hawawezi kunielewa, lakini wanaomjuwa Manara wa ccm kipindi anamtukana matusi ya nguoni Maalim Seif ndio wanaweza kunielewa nikisema Manara hafai, hana adabu na mdomo wake hauna breki.