Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Kinachosikitisha ni ujinga alionao mwandishi ni kushindanisha siasa na mpira. Hajui kuwa Mpira ni matokeo ya siasa. Hajui kuwa siasa ndio inaamua kila kitu kuhusu wanadamu.
Kwa akili fupi,ujuaji wa asichojua na u-CCM wake wa kipumbaff huyo Haji Manara anafikiri mpira upo juu ya shughuli za kisiasa.Pomole kweli huyo Haji!
 
Hovyo kabisa. Kwahiyo, Chadema ikiingia madarakani Simba na Yanga zitapigwa marufuku? Halafu mnadai Chadema inapendwa nchi hii? Labda na vichaa maana hata Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni vichaa!
Wewe siku zote huwa ninakuweka kwenye kundi la watoto wadogo wa shule. Reasoning yako iko down to the earth.

Sikiliza mwanafunzi; Yanga na simba kama timu hazina tatizo lolote lile kwenye hii nchi! Thats why mtu kama Tundu Lissu, Halima Mdee na wengineo wengi ni mashabiki wa Yanga! Wapo wapinzani wengine ni mashabiki wa simba, nk. Maana yake nini? Moira kama mpira haubagui watu!

Shida ipo kwa viongozi mamluki na makada wa chama chenu kilichokataliwa duniani na mbinguni, wanaojipenyeza kwenye hizo timu na kuleta mambo yao ya siasa kwa kuzigeuza hizo timu mbili kongwe kuwa matawi yao ya kisiasa! Jambo hili halikubaliki.
 
Ameyaandika yeye au kaandikiwa?
Manara hata historia ya Uhuru wa Tanganyika haijui kabisa amekaririshwa propaganda za TANU na CCM .
Anawajua waasisi wa TAA ni nani? na akina nani waliamua kumkaribusha Nyerere????
Kelele nuingi siyo maarifa hata kidogo.

Manara angaika na udiwani wako wa kupewa pamoja na Tajiri wako Diamond (Wasafi)
 
Elimu njiwa hana kitu nje ya kelele za uswahilini
 
Heche ameongea ukweli! Yeye Manara na CHAWA wenzake ndiyo wapuuzi.

Mimi ni shabiki wa Yanga, na ninatambua fika ccm imejipenyeza kwenye kila uongozi unaopita wa timu. Ukienda simba nako mambo ni yale yale.
Kila mahali wapo hadi IOC imewashushua
 
Manara ni ccm bila shaka.tena ni diwani.
Kumshambulia heche sio ajabu.
Aliyesema nchi hii Kuna magaidi ni ni nani kama sio wao.
Nani angependa kuleta timu zije kucheza kwenye nchi z
Ya magaidi?
 
CCM ilichangiwa na watu gani??? Mwenge unachangisha watu gani??! Viwanja vilivyoporwa na CCM vilichangiwa na watu gani kujengwa??
THINK TWICE BEFORE YOU LIP
 
Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia timu za mpira ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishe simba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .
CCM Mtaji wao ni 'UMASIKINI' wa Watanzania..
 
Kwa ulichoandika si ajabu unajiita "akili kubwa"! Ahahahahaha!!
 
Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia timu za mpira ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishe simba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .
Nyie machoko huyo zeruzeru ndio mnafikir atawasaidia, huyo ni mshenzi kama mlivyo huko ccm mwambien aende akamalizane na zylisa ndio size yake sio jembe heche.
 
Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia timu za mpira ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishe simba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .
Wewe na huyo nguruwe zeruzeru ni wapumbavu wote mwambie huyo diwani wa mchongo aliyepatikana kupitia umwagaji damu ajiandae siku nchi ikikombolewa maji atayaita mmaaa.
 
Hovyo kabisa. Kwahiyo, Chadema ikiingia madarakani Simba na Yanga zitapigwa marufuku? Halafu mnadai Chadema inapendwa nchi hii? Labda na vichaa maana hata Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni vichaa!
Chadema ikiingia madarakani kazi kubwa ni kuwasafisha nguruwe wote akiwemo huyo zeruzeru.
 
Nyie nguruwe Kwa sasa imebaki kidogo hamtaonekana tena na vizaz vyenu labda mkimbie nchi. By the way huyo zeruzeru mwambie kuwa ni mpumbavu asiye na umuhimu wowote hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…