Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Kuna club ya mpira yoyote iliyokemea mauaji ya October au kutoa salamu za pole au waliokufa hamna mashabiki zao club za mbogo zinazidiwa na brand ya Davido kwa kukemea mauaji kuna club hapo uchafu

..kuna madogo wa soccer academy iliyoko Mwanza wameuwawa kinyama Oct 29.

..Hakuna cha Simba, Yanga, wala Haji Manara, waliolaani mauaji ya watoto wa soccer academy.

..Watanzania tukatae propaganda za kutulazimisha kuhalalisha uhayawani wa Oct 29.

..Mabadiliko wanayoyadai Chadema hayana ubaya wowote ule kiasi cha Samia na genge lake kuyakataa, na kufanya mauaji ya kihistoria.

Cc Nguruvi3, Erythrocyte
 
Haji Manara mbali na kuwa ni Mwanasoka pia si ni Mwanasiasa wa CCM?
Hayo aliyoyazungumza tutajuaje hayana maslahi yake kisiasa?
 
..kuna madogo wa soccer academy iko mwanza waliuwawa Oct 29, lakini Haji Manara na wenzake wanaojidai ni wakereketwa wa soka, wamekula kimya.
Manara ni mnafiki sana. Kuna watoto walikuwa wanaangalia Mpira pale Mwanza (Tume ya Chande) walipigwa risasi. Manara hakuona hilo anakuja kujadilia kauli za Heche

Manara analaumu Wasanii kukaa kimya, well! Wasanii walijifunza. Baada ya October 29 hawakusimama na Umma, Wananchi wakasusia shughuli zao! Manara hakumbuki baada ya Oct 29 wananchi walisusia Yanga na Simba bila kauli ya Heche au yoyote!
 
..hizo ni kauli za kishabiki na propaganda nyepesi.

..mabadiliko yangefanyika uchaguzi ungepita salama.
Je kwako wewe ni maneno ya biblia na Qur-an?
Hivi nani aliyekupeni authority na kuongea ya kuwa nyinyi ndiyo mko right hata kama pumba... Huoni kama huo ni ukosefu wa akili?
 
Wacha uwiingo huo wapi walipogwa risasi.. wasanii Gani waliosimama na uma. Tatizo chadema mnajimilikisha umma huku mkijua wazi ni wapuuzi wachache TU.
 
Endelea kupanuliwa makalio na abduli huku ukilamba uchi mchafu wa samia , ndio kazi inayokuja ,zwazwa pro max
 
Yaan wafuasi wa Chadema bhana yaan wao wanachoamini viongozi wao ndyo wana akili kushinda watu wengine kwenye hii nchi nyie nyie ndyo mnaoamini kuwa Lissu ni mtu mwenye akili sana hapa Tz utasikia huwezi kumshinda Lissu kwenye kesi yoyote mimi siamini hilo najua kuna watu wapo wanaoijua sheria kuliko huyo kiongozi wenu wafuasi wa Chadema acheni ushamba
 
dah! mtu aliyeshindwa kukaa na mwanamke anaweza akakushauri nini?kila siku kuoa na kuacha ndio najua. Kama ana madini kichwani mwake si angemwaga kwa wanawake zake adumu nao japo mwaka.
 
Endelea kupanuliwa makalio na abduli huku ukilamba uchi mchafu wa samia , ndio kazi inayokuja ,zwazwa pro max
Kama wewe unapanuliwa na Heche😅😅shobo nyingi hata wazazi wako huana muda nao ..Kazi kubwa kudanganywa na wanasiasa...Kama kademu kameanza kuota chuchu ,utapewa mimba muda sio mrefu.
 
N
siyo.mwisho wa akili yako ilipokufikisha?
 

..ndani ya Ccm wako mabingwa wa sheria kumzidi Tundu Lissu.

..kinachomfanya Lissu aonekane ni bora zaidi yao ni kwamba yeye siku zote anasimama upande wa HAKI.

..Lissu akiamini jambo fulani ni la HAKI basi anaweza kuipinga hata Chadema.

..Ni vigumu sana kupambana na mtu anayesimamia HAKI na UKWELI.
 
Je kwako wewe ni maneno ya biblia na Qur-an?
Hivi nani aliyekupeni authority na kuongea ya kuwa nyinyi ndiyo mko right hata kama pumba... Huoni kama huo ni ukosefu wa akili?

..chambua hoja tulizoweka mezani halafu useme hii ni nzuri, na nyingine ni mbaya.

..Tume ya Jaji Chande imeeleza kuna watoto wa soka academy waliuwawa Mwanza.

..Je, Simba, Yanga, na wadau wa michezo hawakupaswa kulaani mauaji hayo?

..Je, ikitokea Simba wanateka, na kupoteza wachezaji na mashabiki wa Yanga, watetezi wa HAKI kama Chadema wanapaswa kukaa pembeni kwa kisingizio kwamba ni mambo ya vilabu vya mpira?

..kwa maoni yangu Ccm imelifikisha taifa mahali ambapo kila mmoja wetu anapaswa kuipambania HAKI.

..haya yanayoendelea huwezi tena kujitenga nayo na kusema ni mambo ya wanasiasa.
 
Haki wapi bhana ww kuna haki hapa Duniani
 
Manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…